Ujerumani yaandaa mkutano juu ya ushirikiano na uhusiano baina ya dini na tamaduni
6 Septemba 2006Matangazo
Sikiliza mahojiano juu ya mkutano huo baina ya Zainab Aziz wa idhaa ya Kiswahili ya radio DW na bi Hawra Shamte mhariri wa gazeti la Mwananchi la nchini Tanzania ambae ni mshiriki katika mkutano huo.