Ujerumani: wakimbizi wajiunga na Chuo Kikuu cha mtandaoni
Yusra Abdallah Buwayhid15 Juni 2016
Wakimbizi nchini Ujerumani wamepata fursa ya kujiunga na chuo kikuu cha mtandaoni , kujiendeleza kimasomo. Utasikia pia orodha ya wachezaji mpira watano bora, katika mtandao wa Instagram. Pamoja na yale yaliyovuma mitandaoni.