Uharibifu wa vyanzo vya maji unachangia katika uhaba wa maji Kagera, Tanzania. Wakati nchi zikiendelea kuhimizwa kulinda mazingira ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, nchi na jamii zinajizatiti kuchukua hatua ili kuhakikisha jamii inatambua jukumu lake katika kulinda mazingira.