Uganda:Mjue kinda wa muziki wa "rap" nchini Uganda
SanaaUganda
12 Juni 2025
Ni mtoto mdogo sana, lakini tayari ameonyesha makali katika muziki wa ragga. Anatambulika kama Fresh Kid UG na alianza kung'ara akiwa na miaka 7 na hadi sasa ametoa nyimbo 20. Ungana nami hapa ujionee kipaji hiki. #77% #kurunzi #dwkiswahili #msichanajasiri