Wakristo wa kijiji cha Namayiga nchini Uganda wameamua kuchanga pesa kusaidia wenzao wa dini ya Kiislamu kupata mahali pa kuabudu. Hizo ni juhudi za kuleta maendeleo bila kujali tofauti za dini.
Waumini wa Kiislamu katika msikiti wa zamani kijijini NamayigaPicha: DW/E. LubegaWaumini ndani ya msikiti wa zamani uliochukua miaka mitano kujengaPicha: DW/E. LubegaWakristo wa kijijini Namayiga walichanga pesa kusaidia ujenzi wa msikiti mpyaPicha: DW/E. Lubega