Shirika la Kimataifa la Kupiga Vita Rushwa, Transparency International, limeonya kupitia ripoti yake ya mwaka, kuwa rushwa na ufisadi unazidhoofisha juhudi za dunia za kupambana na mabadiliko ya tabianchi.
Rushwa inahatarisha kupotea kwa misitu kama hii dunianiPicha: DW-TV
Matangazo
Mohammed Dahman anaiangalia ripoti hiyo na namba ambavyo maisha ya wanaadamu wote yanahatárishwa kwa sababu ya ufisadi unaofanywa na watu wáchache wenye dhamana katika jamii.
Mtayarishaji/Msimulizi: Mohammed Dahman Mhariri: Othman Miraji