Sikiliza makala yetu leo ambapo mwandishi wa DW Wakio Mbogho anamuangazia mchoraji Tattoo kutoka Sabaot nchini Kenya, ambaye ana umahiri wa miaka kumi na moja katika kazi hii ya uchoraji.
Henry Ndege, kulia, akimchora tatoo mteja wake mjini Nakuru, KenyaPicha: DW/W. MboghoHapa Henry Ndege akiendelea kuchapa kazi akitumia kifaa chake kuchora tatoo.Picha: DW/W. Mbogho