Mada muhimu zinazotiliwa uzito na magazeti mengi ya Ujerumani hii leo ni matokeo ya uchaguzi wa mabaraza ya miji na vijiji uliofanyika jana katika mkoa wa magharibi wa Nort-Rhein Westfalia na upinzani dhidi ya kufanyika karibuni mkutano wa mawaziri wa utamaduni wa mikoa ya Ujerumani.