Tanzania itafanya Uchaguzi wake Mkuu Oktoba 29, 2025 ambapo wapigakura 37, 655,559 wamejiandikisha kupiga kura katika majimbo 272. Kwa mara ya kwanza chama tawala CCM kina mgombea mwanamke. Chama cha CHADEMA hakishiriki.