You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kikosi cha jeshi la Kenya chawasili Beni
Katika mpango wa Umoja wa mataifa kuimarisha usalama katika eneo la Beni kwa namna ya pekee na kwa ujumla katika eneo la mashariki ya Congo, kikosi maalumu cha umoja huo kimewapokea wanajeshi toka Kenya ambao wanakwenda kuwalindia usalama wakaazi na kupambana na waasi wanaowauwa raia katika eneo hilo. Isikilize ripoti ya mwandishi wetu John Kanyunyu kutoka huko.
Naibu wa Rais Kenya Ruto azuiwa kwenda Uganda
Ruto aliambiwa na maafisa wa uhamiaji Nairobi kwamba alitakiwa kupata idhini kabla ya kusafiri
Kenya: Muungano wa upinzani, NASA wasambaratika
Siasa zinazidi kushika kasi nchini Kenya wakati taifa hilo likikaribia kufanya uchaguzi mkuu mwaka 2022.
Raila Odinga akubali kugawa fedha za vyama vya NASA
Raila Odinga ameridhia kugawanya hela za vyama vya siasa na wenzake, kufuatia kujiondoa kwa chama cha Wiper kwenye NASA.
Madereva wa Safari Rally kuwalinda wanyamapori Kenya
Watalaam wa mazingira wanataka mashindano ya Safari Rally yasiondoe mafanikio yaliyopatikana ya kuhifadhi mazingira
Taharuki yatanda mpaka wa Isiolo na Samburu
Watu watano wameua na wengine wanne wanapokea matibabu baada ya kupata majeraha ya bunduki
Kenya: Wakaazi Marsabit wakimbia makwao kwa kuhofia maisha
Zaidi ya familia 450 zimeyakimbia makaazi yao jimboni Marsabit nchini Kenya kufuatia hofu ya mapigano ya kikabila.
Wapenzi wa jinsia moja wanaongoza kwa maambukizi ya Ukimwi Nakuru, Kenya
Asilimia 70 ya watu walioambukizwa virusi vya Ukimwi katika eneo la Nakuru nchini Kenya ni kati ya makahaba na watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja. Kadhalika maafisa wa afya wanaelezea changamoto za kidini katika kuyakabili maambukizi haya.
Uhuru atangaza sheria za corona eneo la Ziwa na Bonde la Ufa
Mipango ya baadaye inajumuisha kujenga kiwanda cha kutengeneza chanjo
Safari Rally yatifua vumbi tena Kenya
Kwa mara ya kwanza baada ya kutofanyika kwa miaka 19 mashindano ya mbio za magari maarufu Safari Rally yamerejea tena nchini Kenya. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.
Ruto kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha UDA
Ruto avisuta vyama vinavyoendekeza ukabila
Hofu ya kuzuka ghasia Kenya yaibuka
Tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC imeelezea hofu ya kuwakataa matokeo ya uchaguzi na kuzuka ghasia baada ya uchaguzi.
Mwito wa Raîla kwa Kenyatta kuhusu uteuzi wa majaji
Raila Odinga amemtaka Rais Kenyatta kuwaelezea bayana Wakenya sababu za kukataa kuwateua majaji wa mahakama ya Rufaa.
Kenya: Bajeti ya kitaifa ya shilingi trilioni 3.66
Bajeti mpya imeongezeka kutokea shilingi trilioni 2.8 hadi 3.6.
Viongozi wa Marsabit walaumiwa kufadhili machafuko
Hivi karibuni Marsabit imeripoti vita vya kikabila na watu wasiopungua kumi wameuawa chini ya kipindi cha mwezi mmoja.
Nakuru yapandishwa hadhi na kuwa jiji
Je, kupandishwa hadhi kwa mji wa Nakuru kuwa jiji kutakuwa na manufaa gani kwa mwananchi wa kawaida katika eneo hilo?
Qatar yamuachia huru mwanaharakati Mkenya
Qatar yamuachia huru mwanaharakati Mkenya, mashirika ya haki za binadamu yathibitisha
Rais Ndayishimiye wa Burundi ziarani Kenya
Kenya na Burundi zakubaliana kuimarisha sekta mbali mbali za kiuchumi na ushirikiano wa kimkakati baina yao
Kenyatta akutana na Ruto wakati wa hafla ya maombi
Kenyatta akutana na Ruto wakati wa hafla ya maombi
Nini chanzo cha uhasama kati ya Kenya na Somalia?
Somalia ilijaribu kurekebisha, na Kenya ikaitikia vyema. Lakini tofauti kubwa zinasalia.
Serikali ya Kenya kukatia rufaa uamuzi kuhusu BBI
Mwanasheria mkuu nchini Kenya ameanza rasmi hatua ya kukata rufaa uamuzi wa mahakama kuu kuhusu BBI.
Mahakama ya Juu Kenya yamzuwia rais kubadili katiba
Wakosoaji wanasema mabadiliko hayo ni hatua ya kisiasa inayolenga kumzuwia Ruto asimrithi Kenyatta uchaguzi wa 2022.
Maoni: Rais Samia ameirejesha Tanzania ulimwenguni
Licha ya Rais Samia Hassan Suluhu kusisitiza yeye na Magufuli ni kitu kimoja, tofauti za kimtazamo ziko wazi.
Rais Samia: Kenya itasalia kuwa ndugu kwa Tanzania
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amehutubia katika kikao cha pamoja cha Bunge la Taifa la Kenya na ameahidi kuw
Kenya na Tanzania zatia mikataba ya kibiashara na uwekezaji
Rais Kenyatta na Samia wasaini mikataba ya kibiashara, uwekezaji na mahusiano.
Rais Uhuru Kenyatta amlaki Rais Samia Suluhu jijini Nairobi
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan awasili Kenya na kulakiwa na mwenyeji wake Rais uhuru Kenyatta.
Ugaidi bado ni kitisho kikubwa duniani
Wataalamu wengi wanasema mashambulizi yao yalianzisha mwanzo wa vita dhidi ya ugaidi
Utata, upungufu wa ARV nchini Kenya
Utata kuhusu upungufu wa dawa za kupambana na makali ya virusi vya ukimwi nchini Kenya unaendelea huku rais Uhuru Kenyatta akifanya mabadiliko kwenye taasisi inayosimamia ununuzi na usambazaji wa vifaa vya matibabu nchini humo KEMSA, inayohusishwa na utata huo. Mwaathirika wa VVU Juliet Akinyi na mwanaharakati Cidi Otieno walizungumza nasi. Msikilize kwanza Julie.
Kenya: Vifo kufuatia uunganishaji wa umeme kwa njia haramu
Gharama ya juu ya maisha yadaiwa kuwasababisha Wakenya kujiunganishia umeme kwa njia haramu.
Maadhimisho ya siku ya kuienzi Dunia
Siku ya kuienzi dunia imejiri wakati Kenya inapambana na changamoto zinazoletewa na mabadiliko ya tabia nchi.
Kenya kutuma wanajeshi DRC kupambana na ugaidi
Kenya kutuma wanajeshi wake nchini DRC kusaidia katika vita dhidi ya ugaidi.
Kenya: William Ruto atishia kukihama chama tawala
Kwanini rais Kenyatta na naibu wake William Ruto hawaelewani?
Kenya: Mchakato kumtafuta jaji mkuu mpya waanza Kenya
Mchakato wa kumtafuta Jaji Mkuu Mpya Kenya umeingia hatua mpya, kwa kuwahoji wagombea wanaowania wadhifa huo.
Wakaazi Turkana wataka kambi za Kakuma na Daadab zisifungwe
Wakaazi wa Turkana nchini Kenya wataka serikali kubatilisha msimamo wa kutaka kambi za Kakuma na Daadab kufungwa.
Kenya yakabiliwa na uhaba wa gesi ya oksijeni
Kenya yakumbwa na uhaba mkubwa wa gesi ya oksijeni mnamo wakati mahitaji yake ni makubwa katika kutibu COPVID-19.
Janga la Covid-19 lazidisha ukiukwaji wa haki za binadamu
Shirika la Amnesty International linasema kuwa janga la Covid-19 linatumiwa na viongozi katika kubinya haki zabinadamu.
Amnesty International:Janga la Covid linatumiwa kubinya haki
Amnesty International imesema janga la Covid-19 limevuruga huduma za idara ya umma
Chanjo nyingine ya Covid-19 yaanza kutumika Kenya
Chanjo nyingine ya Covid-19 yaanza kutumika Kenya
Kenya yatoa siku 14 kuzifunga kambi za wakimbizi
Kenya yatoa siku 14 kuzifunga kambi za wakimbizi
Kenya yatangaza siku saba za maombolezo
Viongozi wa kisiasa watuma risala za rambirambi
Hali ngumu ya maisha yawaliza Wakenya
Muungano wa makanisa nchini Kenya umeitaka serikali ya nchi hiyo kuyalinda maisha ya watu wake kufuatia kilio cha umma kuhusu kupanda kwa gharama ya maisha. Huku taasisi hiyo ikielezea wasiwasi kwamba Kenya inapitia kipindi kilichojawa na utata, msemaji wa serikali amewataka wananchi kuacha kulalamika na badala yake waiunge mkono serikali. Mwandishi wetu Wakio Mbogho alileta taarifa hii.
Ruto apigwa kumbo na Jubilee
Halmashauri Kuu ya Chama tawala nchini Kenya, Jubilee imepitisha uamuzi wa kumuondoa katika wadhifa wake Naibu Mkuu wa chama hicho Makamu wa Rais William Ruto. Kwa uamuzi huo hatma yake katika chama hicho ipo mikononi mwa Mkuu wa Chama, Rais Uhuru Kenyatta. Sikiliza mahojiano ya Sudi Mnette na mchambuzi wa siasa za Kenya Brian Singoro Wanyama juu ya suala hilo.
Covid-19: Kenya yapiga marufuku mikutano ya kisiasa
Idadi ya mambukio imengezeka kwa asilimia 14, ambacho ni kiwango cha juu kabisaa kushuhudiwa mwaka huu.
Malori yaliyobeba mahindi yakwama mpakani Namanga
Biashara katika mpaka wa Kenya na Tanzania yazorota
Kenya yazindua utoaji chanjo dhidi ya covid-19
Kenya imekuwa miongoni mwa mataifa ya mwanzo kabisa Barani Afrika kupokea chanjo dhidi ya virusi vya corona.
Kenya yazindua utoaji chanjo dhidi ya COVID-19
Shughuli ya kutoa chanjo ya COVID-19 imeanza rasmi nchini Kenya ambapo kundi la kwanza kuchanjwa ni wahudumu wa afya katika kaunti zote 47. Dozi millioni 1.02 za chanjo ya virusi vya corona ziliwasili siku ya Jumanne, na kuifanya Kenya kuwa moja ya mataifa ya mwanzo kupokea chanjo hiyo barani Afrika. Thelma Mwadzaya alihudhuria ufunguzi wa shughuli hiyo jijini Nairobi na kuandaa ripoti hii.
Kulikoni taasisi za kidini kujihusisha na vita dhidi ya itikadi kali?
Usitishaji wa matukio ya ukiukaji wa haki za binadamu yanayohusiana na ugaidi pamoja na misimamo mikali ya kidini, utafikiwa kwa kuwakomesha wanaotumia vibaya mafundisho ya dini yanayosababisha upotoshaji kati ya waumini. Wadau kwenye sekta ya usalama nchini Kenya wanatumia mtazamo huu, kuwahusisha viongozi wa dini ili kuhimiza maadili yanayozingatia haki, amani na usalama.
Mahasimu wa kisiasa watunisiana misuli uchaguzi mdogo Nakuru
Waandishi habari wanne na mbunge wameshambuliwa katika vurugu zilizoukumba uchaguzi mdogo waeneo la London, Nakuru.
Kenya hatimaye yapokea chanjo ya corona
Kenya imepokea shehena ya kwanza yenye chanjo milioni moja za virusi vya corona. Chanjo hiyo aina ya AstraZeneca iliwasi
Kenya: Makundi ya vijana yaungana dhidi ya uhalifu
Makundi ya vijana yaungana Kenya dhidi ya uhalifu
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 23
Ukurasa unaofuatia