You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Athari kiuchumi kwa Afrika kufuatia mzozo wa Ukraine
Mataifa ya Afrika yanakumbwa na changamoto ambazo zimesababishwa na uvamizi wa Urusi Ukraine.
Ruto kugombea urais wa Kenya kwa tiketi ya UDA
Naibu Rais William Ruto ameidhinishwa kuwa mgombea kiti cha urais kupitia chama cha UDA.
Je, Raila ana nafasi gani ya ushindi katika uchaguzi 2022?
Huenda urais ndicho cheo kikubwa ambacho hakipo kwenye wasifu wa Raila Odinga kisiasa nchini Kenya. Je ana nafasi gani ya kujipatia ushindi kuelekea katika uchaguzi mkuu mwaka huu? Na je mshindani wake William Ruto ana nafasi gani kutia kikomo ushawishi wa familia ambazo zimetawala siasa za Kenya kwa miaka mingi hususan Kenyatta, Moi na Odinga? Sikiliza mahojiano ya John Juma na Javas Bigambo.
Raila afanya ziara nchini Uingereza
Naibu wa Rais William Ruto amesema amemsamehe Rais Uhuru Kenyatta.
Odinga kuwa mrithi wa Uhuru Kenyatta
Odinga awa rasmi mpizani wa Ruto
Kenya yaondoa masharti ya mwisho ya Covid-19
Kenya yaondoa masharti ya mwisho ya Covid-19
Mawaziri wanaamini wataweza kupunguza gharama za usafiri
Mawaziri wanaosimamia usafirishaji wa majini katika kanda ya Mashariki mwa Afrika wameazimia kushirikiana ili kuwezesha njia hii ya usafiri izidi kuwa ya manufaa kwa raia wa mataifa yao 12. Wadau katika uchukuzi wa majini wana mtazamo kuwa licha ya tunu kubwa ya kimaumbile, mataifa hayo hayajafanya vya kutosha kufaidika zaidi kutokana na bahari. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Emmanuel Lubega.
Wafungwa waadhimisha siku ya wanawake Kenya
Wafungwa waadhimisha siku ya wanawake Kenya
Ruto ashutumiwa kuanza njia za kukataa matokeo ya uchaguzi
Ruto ashutumiwa kuanza harakati za kukataa matokeo ya uchaguzi
Ukame Pembe ya Afrika wasababisha njaa kwa watu milioni 13
Misimu mitatu ya mvua imeshuhudia mvua kidogo sana, hali hii ikichochewa na uvamizi wa nzige walioharibu mazao.
Hali ya usalama ni tete katika shule za Marakwet, Kenya
Kuna hofu kuhusu hatma ya wanafunzi wanaofanya mitihani ya kitaifa mwezi ujao katika baadhi ya maeneo nchini Kenya kufuatia mashambulizi ya kigaidi yanayoonekana sasa kuzilenga shule. isikilize ripoti ya mwandishi wa DW kutoka Nakuru, Wakio Mbogho.
Ruto aitaka tume ya IEBC kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru
Ruto aitaka tume ya IEBC kuhahakisha uchaguzi unakuwa huru
Wafanyakazi wa umma watakaowania nyadhfa kwenye uchaguzi wajiuzulu Kenya
Maafisa wa serikali ya Kenya wanaotaka kuwania nyadhifa za kisiasa kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti tisa, wanatakiwa kujiuzulu kufikia mwisho wa Jumatano. Ni kufuatia uamuzi wa mahakama ya rufaa hapo Jumanne. Tayari mawaziri kadhaa na makatibu watendaji wameshajiuzulu. John Juma amezungumza na Dr. Alutalala Mukhwana, wakili ambaye pia ni mchambuzi wa sheria, siasa na utawala.
Watu milioni 13 wakabiliwa na njaa katika Pembe ya Afrika
WFP inataka watu wnaokabiliwa na baa la njaa wapataiwe msaada wa haraka ili kuepusha mgogoro wa kibinadamu.
Tume ya uchaguzi Kenya yashindwa kufikia malengo ya usajili
Tume IEBC Kenya, kwa mara nyingine tena imeshindwa kutimiza malengo ya kuwasajili wapigakura milioni 4.5.
Umoja wa Afrika walaani mapinduzi yanayoteka Afrika
Umoja wa Afrika walaani mapinduzi yanayoteka Afrika
Kenya yatangaza operesheni mpya ya usalama
Waziri wa usalama wa ndani wa Kenya Fred Matiangi ametangaza kuwa nchi hiyo itaanza oparesheni mpya ya usalama.
Mudavadi na Ruto waungana kabla ya uchaguzi mkuu Kenya
Ruto ametangaza rasmi mwanzo wa safari ya kuwa na serikali ya rais wa tano na wafuasi wapya walitambulishwa kwa umma.
Siasa za Kenya zachukua mkondo mpya kuelekea uchaguzi Mkuu
Siasa za Kenya zachukua mkondo mpya kuelekea uchaguzi Mkuu
Wakenya wanaoishi nje wasajiliwa kupiga kura
Kwa mara ya kwanza Wakenya wanaoishi katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wataweza kusajiliwa kupiga kura kwa kutumia vitambulisho vya taifa wala sio hati za kusafiria.Shughuli ya kuwasajili wapiga kura walioko nje ya mipaka ya Kenya inaanza leo hadi mwanzoni mwa mwezi ujao wa Februari. Isikilize ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.
Kongamano la serikali kuhusu kilimo nchini Kenya
Kongamano la kiserikali kuhusu kilimo na hali ya uhaba wa chakula na njaa nchini Kenya wafanyika mjini Mombasa
Kenya yazindua reli nyingine mpya ya kisasa SGR
Ukarabati huo uliofanywa kwa kutumia teknolojia ya kiwango cha juu utarahisisha uchukuzi
Kenya yaanza awamu ya pili ya kuwasajili wapiga kura wapya
Tume ya kusimamia Uchaguzi nchini Kenya-IEBC, imeanza awamu ya pili ya kuwasajili wapiga kura kote nchini humo.
Al-Shaabab yatishia kuishambulia Kenya
Al-Shabaab wanadaiwa kuhusika na mauaji ya raia kaunti ya Lamu
IPOA yaanzisha uchunguzi wa mauaji ya washukiwa wa uhalifu
Mamlaka ya usimamizi wa huduma za polisi nchini Kenya, IPOA, imeanzisha uchunguzi wa matukio ambapo washukiwa wa uhalifu wamefariki mikononi mwa polisi. Watetezi wa haki za kibinadamu wamelaani ongezeko la mauaji hayo. Sikiliza ripoti ya Wakio Mbogho kutoka Nakuru.
Maelfu ya wanafunzi Kenya huenda wasifanye mitihani ya taifa
Maelfu ya wanafunzi katika jimbo la Baringo nchini Kenya,
Seneta wa Meru kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za uchochezi
Seneta wa Meru Mithika Linturi anatarajiwa kuwasilishwa mahakamani hii leo kufuatia tuhuma za matamshi ya chuki.
Marufuku ya kutembea usiku yatangazwa Lamu
Marufuku ya kutembea usiku yatangazwa Lamu
Mgomo wa madereva wa malori kutoka Kenya waathiri biashara
Biashara kwenye mpaka wa Kenya na Uganda imeathiriwa baada ya madereva wa malori kutoka Kenya kugoma.
Tanzania: Uzinduzi wa awamu ya pili ya chanjo ya Covid-19
Serikali ya Tanzania imezindua awamu ya pili ya chanjo dhidi ya Covid-19 huku kukiwa na ongezeko la maambukizi nchini.
Makumi ya wabunge Kenya wakutwa na kirusi cha Omicron
Wabunge 18 wa Kenya wamepatikana na virusi vyaCorona baada ya kurejea kutoka nchi jirani ya Tanzania walipokuwa ziarani.
Watu 12 wauawa Marsabit
Watu kumi na wawili wamethibitishwa kuuawa katika hujuma ya wizi wa mifugo katika jimbo la Marsabit nchini kenya.
Kenya kuwajengea nyumba wanajeshi wake
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amezindua mradi wa ujenzi wa nyumba za wanajeshi wa vikosi vya ulinzi.
Baraza la Biashara laingilia mzozo Kenya, Uganda
Baraza la Biashara la Jumuiya ya Afrika Mashariki limetaka iwepo suluhu ya mzozo wa kibiashara baina ya Uganda na Kenya.
Bidhaa za kughushi hugarimu mabilioni ya shilingi kwa Kenya
Biashara haramu ndiyo inayoongoza na kulifanya taifa kupoteza mapato inayohitaji kwa maendeleo,yasema serikali ya Kenya.
Je, Rais Kenyatta anampigia debe Odinga?
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alitoa ishara ya kumuunga mkono kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement- ODM Raila Odinga kuwania nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa matumaini ya kurithi nafasi yake baada ya yeye kuondoka. Amina Abubakar amezungumza na mchambuzi wa siasa Martin Oloo
Kenyatta na Samia washuhudia utiaji saini mikataba mipya
Samia Suluhu na Uhuru Kenyatta wamesisitiza haja ya nchi zao kuendelea kuondoa vikwazo vinavyodumaza mahusiano mema.
Raila atanganza kuwania kiti cha urais Kenya
Akizungumza kwenye Kongamano la chama,Raila amesema hashindani na yeyote,isipokuwa masuala yanayo watenganisha Wakenya.
Tanzania yaadhimisha miaka 60 ya Uhuru
Rais Samia ameongoza maadhimisho hayo ikiwa ni ya kwanza katika utawala wake
Idara ya polisi imetoa taarifa ikiwakosoa maafisa hao
Idara ya polisi nchini Kenya imelikashifu kundi la maafisa wa kitengo maalum cha polisi GSU waliofuzu jana waliojinakili kwenye ukanda wa video wakitoa matamshi ya kudhalilisha. Walisikika wakijigamba na kujitambulisha kama kundi kali zaidi linalofuzu, na sasa wanaingia kukabiliana na umma vilivyo. Sikiliza ripoti ya Wakio Mbogho kutoka Nakuru.
Watu watatu wauawa Nyakach Kenya kufuatia shambulio la bomu
Watu 3 akiwemo mshambuliaji wa kujitoa muhanga wameuawa kwenye tukio la mripuko wa bomu uliotokea Awach, Kisumu Kenya.
Kenya yatangaza sheria mpya ya uagizaji magari kutokea nje
Kenya yatangaza kuwa kuanzia Januari 1, 2022, waagizaji wa magari kutokea na wauzaji watalazimika kufuata sheria mpya.
Kenya: Sharti wageni wathibitishe wamepata chanjo ya COVID
Kenya imetangaza ni sharti la raia wote wa kigeni wanaoingia nchini humo wathibitishe kuwa wamepata chanjo ya COVID-19.
Magazeti ya Ujerumani yazungumzia kirusi cha Omicron
Mada nyine iliyopata nafasi ni mdahalo wa kuifanya chanjo ya corona kuwa ya lazima Kenya na Afrika Kusini.
Rais Kenyatta ahutubia bunge Kenya
Rais Kenyatta ameshikilia kuwa hatua ilizochukua nchini humo zimekuwa zikilenga kuyanusuru maisha na kuufufua uchumi.
Kenyatta afuta mkutano mkuu wa chama cha Jubilee
Kenyatta afuta mkutano mkuu wa chama cha Jubilee
Blinken akutana na viongozi Kenya
Blinken ambaye yuko Kenya kwa ziara ya siku tatu, ameelezea wasiwasi wake kuhusu mizozo inayoshuhudiwa katika kanda hiyo
Miguna Miguna azuiliwa tena kurudi kwao Kenya
Miguna alikuwa amekata tiketi ya kurejea nchini Kenya kutoka Canada kupitia Berlin, Ujerumani.
Ni akina nani walishambulia msafara wa Ruto?
Msemaji wa idara ya polisi nchini Kenya, Bruno Shioso, amezunguzmzia kisa cha kushambuliwa msafara wa makamu wa rais William Ruto katika eneo la Kondele kaunti ya Kisumu.
Wakenya walalamikia ongezeko la bei ya sukari
Wakenya wanakabiliana na hali ngumu baada ya bei ya sukari kuongezeka kwa 23%.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 23
Ukurasa unaofuatia