You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wakenya bado wanasuburi kumjua Rais mpya
Siku mbili baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya, bado haijatangazwa ni nani anayeongoza kinyang'anyiro cha urais.
Shughuli ya kuhesabu kura za Wakenya inaendelea
Zioezi la kuhesabu kura za Wakenya linaendelea
Uchaguzi Kenya 2022: Yanayojiri mjini Kisumu
Washindi katika maeneo kwenye jimbo la Kisumu washerehekea kwa shangwe na nderemo.
Madai ya njama za kuiba kura kaunti ya Kwale
Baadhi ya maafisa wa IEBC wanaoshughulika na kujumlisha kura wamekamatwa
Kazi ya kujumlisha kura zasimama kwa muda Kwale
Kazi ya kujumlisha kura zasimama kwa muda Kwale
Odinga apata viti vingi vya ugavana Nairobi
Odinga apata viti vingi vya ugavana Nairobi
Wakenya wangoja matokeo ya uchaguzi kwa shauku kubwa
Odinga anaungwa mkono na chama tawala cha Jubilee na rais anayeondoka madarakani, Uhuru Kenyatta.
Ruto na Odinga jino kwa jino Kenya
Ruto na Odinga jino kwa jino Kenya
Kenya: Maafisa wa uchaguzi wakesha wakihesabu kura
Zoezi la kuhesabu kura katika uchaguzi mkuu wa rais uliofanyika jana nchini Kenya, limeendelea usiku kucha kuamkia leo.
Upigaji kura wachelewa Kwale
Wapiga kura katika kaunti ya Kwale pwani ya Kenya wamekumbwa na changamoto ya kucheleweshwa kwa vifaa vya kupigia kura.
Wachache wajitokeza kupiga kura Nakuru
Shughuli ya kupiga kura Nakuru inaendelea kukiwa na ripoti za matatizo kwenye makaratasi ya kura.
Wakazi wa Mombasa watekeleza haki yao kikatiba
Siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu hatimaye imewadia, Wakenya kutoka Mombasa wamejitokeza kwa wingi kupiga kura.
Wakenya waanza kupiga kura kumchagua rais mpya
Mamilioni ya Wakenya wameanza kumiminika katika vituo vya kupigia kura mapema leo kumchagua rais mpya
Kenya: Uchaguzi wa gavana Mombasa na Kakamega waahirishwa
IEBC yaahirisha uchaguzi wa gavana katika kaunti za Mombasa na Kakamega, kwa hoja kuwa maelezo kwenye karatasi si sahihi
Kenya: IEBC yawatimua maafisa wanne wa uchaguzi
Tume ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya, IEBC imewafuta kazi maafisa wake wanne ambao waligundulika kufanya mkutano wa faragha nyumbani kwa mgombea wa nafasi ya uwakilishi wa bunge la kaunti huko Homa Bay. Tume hiyo imesema maafisa hao wamekiuka sheria kwa sababu hawatakiwi kuegemea upande wa kisiasa. Sikiliza mahojiano kati ya Hawa Bihoga, na mwandishi James Omoro aliyeko Homa Bay.
Kenya: IEBC yasema matayarisho yote ya uchaguzi yamekamilika
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya, IEBC yasema maandalizi yote ya uchaguzi yamekamilika kuelekea Agosti 9
Maoni: Uchaguzi wa Kenya–nafasi ya Martha Karua
Martha Karua anazo sifa tatu muhimu, ambazo zinaweza kushawishi matokeo ya uchaguzi wa Agosti 9 nchini Kenya
Kenya: Kampeni zamalizika malumbano yaendelea mitandaoni.
Kampeni za uchaguzi wa urais nchini Kenya zimemalizika rasmi lakini mtiririko wa taarifa potofu waendelea mitandaoni
Uchaguzi Kenya 2022: Kampeni za uchaguzi zamalizika leo
Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC imesema matayarisho yote yamekamilika.
Uchaguzi wa Kenya watumbua upya makovu ya ufisadi
Uchaguzi mkuu nchini Kenya utakaofanyika Agosti 9, unayatumbua upya makovu ya ukosefu wa usawa na vilevile ufisadi.
Kutoadhibiwa polisi wa Kenya ni hatari kwa Uchaguzi
Hali hiyo huenda ikapelekea polisi kuendelea kutumia vibaya mamlaka yao wakati wa uchaguzi wa Agosti 9.
Asasi za kiraia Kenya kupokea taarifa wakati wa uchaguzi
Asasi za kiraia zaanzisha ukumbi wa kupokea taarifa kutoka kwa raia na waangalizi wakati wa uchaguzi mkuu nchini Kenya.
Kenya yapanga mikakati ya usalama wakati huu wa uchaguzi
Serikali ya Kenya na asasi za usalama kutoka kaunti za Bonde la Ufa zapanga mikakati ya usalama wakati huu wa uchaguzi.
Viongozi wa dini watoa mwito wa amani kuelekea uchaguzi
Siku saba kabla ya uchaguzi mkuu nchini Kenya, tume ya uchaguzi nchini humo IEBC imepiga hatua nyingine kuelekea uchaguzi mkuu kwa kufungua vituo viwili vitakavyowezesha mawasiliano na maafisa wao, pamoja na umma. Hayo yanajiri huku viongozi wa dini wakitoa miito ya amani. Sikiliza ripoti ya Wakio Mbogho kutoka Nakuru.
Ghasia dhidi ya wanawake wanaowania viti vya siasa Kenya
Wanawake wanaowania baadhi ya viti vya siasa Kenya wakumbwa na ghasia.
IEBC kutumia fomu moja ya matokeo katika uchaguzi Kenya
Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Kenya zimeingia kumi la mwisho. Tume ya IEBC imeridhia kutumia fomu moja pekee ya kukusanyia matokeo wakati wa uchaguzi mkuu.Wakati huo huo, vifaa vyote vya uchaguzi vitawasili kwenye vituo vyote ifikapo Agosti 6 ambayo ndiyo siku rasmi ya mwisho ya kampeni. Isikilize ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.
Je, IEBC iko tayari kwa uchaguzi wa Kenya?
Zimesalia chini ya wiki mbili kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya. Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC, kufikia sasa imesema kuwa iko tayari kwa uchaguzi huo licha ya matukio mbali mbali kutilia shaka mchakato huo wa uchaguzi. Kupata picha kamili ya maandalizi ya uchaguzi huo mkuu wa tarehe 9 mwezi Agosti, Tatu Karema amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya Herman Manyora.
IEBC yatoa maelezo juu ya utata wa vifaa vya uchaguzi
Wagombea wote wanne wa urais wanajiandaa kukutana na tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC ili kujadili suala la fomu za kuandaa matokeo ya uchaguzi. Wakati huo huo, IEBC imeweka bayana kuwa sakata la vibandiko vya uchaguzi vilivyoingizwa nchini katika mazingira ya kutatanisha limesuluhishwa. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.
Usalama waimarishwa Marsabit kuelekea chaguzi Mkuu
Serikali ya kenya imetangaza kuwapeleka maafisa zaidi wa polisi kushika doria wakati wa uchaguzi katika jimbo la Marsabit ambalo limeshuhudia misukosuko ya kiusalama. Hakikisho hilo limetolewa wakati jeshi la polisi likiwa linaendelea na operesheni jimboni humo kutwaa silaha haramu. Sikiliza ripoti ya Michael Kwena kutoka Marsabit.
IEBC:Visokoto vilivyonaswa sio vifaa vya msingi vya uchaguzi
IEBC imesisitiza kuwa visokoto vilivyonaswa na maafisa wa usalama na kuzusha malumbano kati ya kambi hasimu za kisiasa, sio vifaa muhimu vya uchaguzi. Raia wa Venezuela waliopatikana na vifaa hivyo walifika tena mbele ya idara ya upelelezi, DCI kujibu maswali. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.
Viongozi wa dini wataka maridhiano kati ya IEBC na DCI
Viongozi wa kidini wanairai tume ya uchaguzi IEBC na idara ya upelelezi DCI kukaa kwenye meza ya mazungumzo na kujadili juu ya tofauti zilizoibuka.Kwa upande mwingine,mdahalo wa wagombea wa urais umepangwa kufanyika kama ilivyopangwa kesho jioni.
Raila: Sishiriki mdahalo sababu Ruto ni fisadi
Odinga amejitoa katika mdahalo huo unaotarajiwa kufanyika ndani ya juma hili kwa kile alichokiita Ruto ni fisadi
Ruto: Nitaelekeza nguvu kubwa kwenye sekta ya kilimo
Naibu rais wa Kenya na mgombea urais, William Ruto, anasema atalekeza nguvu kubwa kwenye sekta ya kilimo ili kuhakikisha kuwa hakuna raia anayekufa kwa njaa, katika wakati ambapo ripoti za baa la njaa zikijiri kwenye maeneo ya kaskazini na mashariki wiki chache kabla ya uchaguzi wa Agosti 9. Ameyasema hayo kwenye mahojiano na waandishi wa habari wa kimataifa. Sikiliza ripoti ya Mohammed Khelef.
Rais Evariste Ndayishimiye akabidhiwa uenyekiti wa EAC
Mkutano wa 22 wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki umeingia siku yake ya pili na ya mwisho hii leo jijini Arusha, Tanzania huku Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye akikabidhiwa rasmi uenyekiti wa EAC. Ndayishimiye anachukua nafasi ya Rais Uhuru Kenyatta ambaye amemaliza muda wake kama mwenyekiti. Sikiliza ripoti ya Veronica Natalis.
Kenya: IEBC yakiri vituo 1,000 vya kura havina mtandao wa 3G
Zaidi ya vituo 1,000 vya kupigia kura havina mtandao wa 3G imeweka bayana tume ya uchaguzi nchini Kenya jambo linalozua utata. Vituo hivyo viko katika kaunti 34 kati ya zote 47. Hali hiyo inawatia shaka wanasiasa ikikumbukwa kuwa mwaka 2017 teknolojia sawia iliyotumika ilizua utata kwenye uchaguzi mkuu wakati huo. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.
Waangalizi wa uchaguzi Kenya waonyesha wasiwasi juu ya mzozo
Makundi ya waangalizi wa uchaguzi pamoja na mashirika mengine nchini Kenya yana wasiwasi kuhusu mbinu zilizowekwa kudhibiti mizozo baada ya uchaguzi mkuu ikizingatiwa ushindani mkubwa uliopo. Wadau hao wanapendekeza kuwepo mikakati ikiwemo kufunga baa na maeneo ya pombe ili kudhibiti uwezekano wa ghasia. Sikiliza ripoti ya Wakio Mbogho kutoka kaunti ya Nakuru.
Wakuu wa EAC kukutana leo Arusha, biashara kwenye agenda
Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kukutana Alhamis mjini Arusha
Baraza la maimamu laonya kuhusu matamshi ya chuki Kenya
Baraza la maimamu na wahubiri nchini Kenya linaishinikiza tume ya uchaguzi IEBC kuwachukulia hatua wanasiasa wanaoeneza kauli za chuki hasa katika kaunti za pwani. Viongozi hao wa kidini wamewaasa vijana kutotumiwa na wanasiasa kuzua vita dhidi ya wapinzani wao. Isikilize ripoti ya mwandishi wa DW Thelma Mwadzaya.
Kituo cha kushughulikia vurugu wakati wa uchaguzi Isiolo, Kenya
Asasi za kiusalama jimboni Isiolo nchini kenya zimezindua kituo maalum cha kushugulikia masuala ya uchaguzi ikiwemo vurugu kabla,wakati na hata baada ya uchaguzi mkuu kuandaliwa. Kituo hicho chenye makao yake mjini Isiolo,kinatarajiwa kushugulikia masuala ibuka kwa wakati ufaao na kutoa suluhu ya haraka. Isikilize ripoti yake Michael Kwena.
Mdahalo wa wagombea wenza wafanyika Kenya
Wagombea wenza wa kinyang'anyiro cha urais wa Kenya wametofautiana vikali kwenye masuala ya uadilifu wakati wa mdahalo uliofanyika Jumanne usiku. Manaibu wa rais 4 watarajiwa walishiriki mdahalo wa taifa ambapo walinadi sera zao na kutetea ilani za vyama vyao. Hii hapa ni ripoti yake mwandishi wa DW kutoka Nairobi, Thelma Mwadzaya.
IEBC kuahirisha uchaguzi baadhi ya maeneo Kenya
Tume ya uchaguzi nchini Kenya, IEBC, imeonya kwamba huenda ikalazimika kuahirisha chaguzi katika baadhi ya maeneo ambapo kesi kuhusu uidhinishwaji wa wagombeaji zinasubiri mahakamani. Wachambuzi wanasema hatua hiyo huenda ikatatiza shughuli ya uchaguzi. Isikilize ripoti ya mwandishi wa DW Wakio Mbogho kutoka Nakuru, Kenya.
Raila atetea uamuzi wa kumteua Karua kama mgombea mwenza
Mgombea urais wa Kenya Raila Odinga ameutetea uamuzi wake wa kumteua mwanasiasa mwanamke kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi mkuu ujao nchini humo. Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya kimataifa jijini Nairobi, Odinga amemsifu mwanasiasa Martha Karua kama mwenye uzoefu katika maswala ya kisheria. Sikiliza ripoti ya Reuben Kyama kutoka Nairobi.
Kampeni za siasa zaendelea kupamba moto kuelekea uchaguzi
Kampeni za uchaguzi nchini Kenya zinajikita kwenye hatua za kuzinasa kura za miji mikuu. Hii leo muungano wa Kenya Kwanza ulitua jijini Nairobi kunadi sera zao. Waangalizi 48 wa muda mrefu wa Umoja wa Ulaya watashiriki kwenye uchaguzi wa Agosti baada ya ujumbe kuzinduliwa rasmi. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.
Kampeni za uchaguzi Kenya zashika kas
Azimio la Umoja One Kenya Alliance inahitimisha kampeni za siku tano Pwani. Kenya Kwanza imepiga kambi eneo la Kiambu
Matiangi: Tumejiandaa kuilinda Kenya wakati wa uchaguzi
Kikao kazi hicho kinafanyika wakati wanasiasa wakenda mbia katika dakika za lala salama kuomba kura kwa raia.
Korti yamuidhinisha Mike Sonko kuwania ugavana wa Mombasa
Mahakama kuu mjini Mombasa imeiagiza tume ya IEBC kumruhusu Mike Sonko kuwania kiti cha ugavana. Katika uamuzi wake Jaji Stephen Githinji leo Jumatano amesema tume ya uchaguzi haikutenda haki kwa kumfungia nje gavana huyo wa zamani wa Nairobi. Hatua hii ina maana gani kwa siasa za kaunti ya Mombasa? Sikiliza mahojiano kati ya Saumu Njama na mchambuzi wa siasa Maimuna Mwidau.
Amnesty: Watu 1000 waliuawa kwenye utawala wa Jubilee
Zaidi ya watu 1000 huenda waliuawa kwenye kipindi cha utawala wa serikali ya Jubilee nchini Kenya. Kwenye ripoti iliyotolewa na Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International, utawala huo wa Rais Uhuru Kenyatta umepewa asilimia 46 katika nyanja mbali mbali za uongozi wake ambao unakaribia miaka 10 sasa. Sikiliza ripoti ya Shisia Wasilwa kutoka Nairobi.
IEBC: Daftari la wapiga kura Kenya, lakamilika
Tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC imesema katika kikao cha uchaguzi kilichofanyika hii leo kwamba daftari la wapiga kura liko tayari kwa wanaotaka kuliona na kufahamisha kuwa wpigakura milioni 22 wamesajiliwa kushiriki kwenye uchaguzi wa mwezi ujao. Thelma Mwadzaya alituarifu zaidi kutoka Nairobi.
Tume ya IEBC yaandamwa kuhusu karatasi za kupigia kura
Tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC inaandamwa na shinikizo baada ya kuanza kuchapisha karatasi za kupiga kura
Karatasi za Kura zaanza kuwasili nchini Kenya
Shehena ya kwanza ya makaratasi ya kupigia kura imewasili nchini Kenya siku 32 kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 23
Ukurasa unaofuatia