You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kenya yatuma vikosi DRC kupambana na waasi
Rais wa Kenya William Ruto leo ametangaza kutumwa kwa kikosi cha jeshi la nchi yake kwenda mashariki mwa Jamhuri ya Kide
Congo yapuuza wito wa mazungumzo na waasi wa M23
Waziri wa mambo ya nje wa Kongo anasema juhudi za kidiploamasia bado zinahitajika katika kumaliza vita mashariki Kivu.
Kenya: Idadi ya majaji wanawake yaongezeka
Idadi ya majaji wanawake imefikia 81 ikilinganishwa na wanaume 91.
Kupitishwa kwa mawaziri Kenya, kunamaanisha nini?
Hapa utamsikia mchambuzi Martin Oloo akizungumzia hatua ya bunge la kitaifa la Kenya kupitisha mawaziri wateule wa serikali ya rais William Ruto, tofauti na mitazamo ya awali ya kuwapinga baadhi ya wateule hao. Anasemaje? Sikiliza mahoajiano haya.
Bunge la Kenya laidhinisha baraza la mawaziri
Baraza jipya la mawaziri nchini Kenya limeidhinishwa na bunge la taifa na sasa linasubiri ridhaa ya rais. Awali, wateule watatu kati ya wote 25 walitemwa baada ya uadilifu wao kutiliwa mashaka au kwa kushindwa kujieleza mbele ya kamati ya bunge ya uteuzi. Baraza hilo jipya linasubiri kuapishwa rasmi wakati wowote kutoka sasa. Thelma Mwadzaya alituarifu zaidi kutoka Nairobi.
Uhaba wa chakula kulikumba jimbo la Isiolo nchini Kenya ?
Hali hiyo inajiri wakati serikali ya kenya ikiwa inaendelea na mpango wake wa kusambaza vyakula vya msaada.
Rais William Ruto awaongoza Wakenya, sherehe za Mashujaa
Kwa mara ya kwanza tangu kuchukua hatamu za uongozi, rais wa Kenya William Ruto ameongoza sherehe rasmi za mashujaa.
Hatimaye Miguna Miguna arejea nchini Kenya
Hatimaye Miguna Miguna aliyefurushwa nchini mwake miaka 5 iliyopita amerejea nchini Kenya Alhamisi.
Kenya: Mawaziri wateule wahojiwa na bunge
Shughuli ya kuwahoji mawaziri wapya imeanza rasmi hii leo. Kila mmoja ana muda wa saa mbili kujieleza mbele ya kamati ya bunge ya uteuzi. Zoezi hilo litaendelea hadi Jumamosi ili mawaziri wateule wote 22 wapate fursa ya kujieleza. Bunge limepewa muda hadi mwanzoni mwa Novemba kutoa ridhaa yao kabla ya ripoti kamili kuwasilishwa kwa Rais Ruto. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.
Ipi suluhu ya kuzuia mauaji ya kiholela Kenya?
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kuvunjwa kwa kitengo maalum kwenye idara ya upelelezi katika juhudi za kusafisha makosa yaliyotekelezwa na idara hiyo. Je, kuvunjwa kwa kitengo hicho cha polisi ndio suluhu ya mauaji ya kiholela nchini Kenya? Sikiliza mahojiano kati ya Sudi Mnette na mchambuzi wa masuala ya usalama George Musamali akiwa mjini Nairobi.
Kenya:Kaunti zingine 6 hatarini kukumbwa na njaa kali
Hatua hii ni baada ya baadhi ya kaunti kundeendelea kushuhudia makali ya ukame ikiwa ni mabadiliko ya tabia nchi
Bunge la Kenya kuwahoji wateule wa uwaziri
Bunge la Kenya kuwahoji wateule wa uwaziri
Ukosoaji wa ruhusa ya vyakula vilivyokuzwa kisayansi Kenya
Upinzani wamkosoa Ruto kwa kwa kuruhusu vyakula vilivyokuzwa kisayansi
Rais Ruto aahidi kuimarisha ushirikiano wa Kenya na Tanzania
Rais Ruto ameyasema hayo katika ikulu jijini Dar es salaam akiwa katika ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini humo.
Wakimbizi wa Ethiopia wapewa hifadhi Marsabit
Idadi ya wahamiaji kutoka Ethiopia inaendelea kuongezeka wakati huu ambapo hali inazidi kuwa mbaya.
Tume ya maadili kuchunguza tuhuma za ufisadi Kenya
Tume hiyo imefichua haya huku baraza la magavana nchini likilalamikia ucheleweshwaji wa mgao wa fedha kutoka serikali.
Muungano wa Afrika waandaa mazungumzo ya amani Ethiopia
Addis Ababa imethibitisha kushiriki kwenye mazungumzo hayo ingawa hadi sasa hakujawa na kauli kutoka kundi la TPLF.
Museveni amuondoa mwanae ukuu wa jeshi, ampandisha cheo
Uganda pia imeiomba radhi Kenya kutokana na matamshi yaliotolewa na Jenerali Muhoozi akitishia kuivamia Kenya.
Rais Ruto asema hakutakuwa na ubaguzi katika utawala wake
Rais William Ruto asema serikali yake itawatumikia wakenya wote bila ubaguzi
Kenya yajiweka sawa dhidi ya Ebola
Hatua hiyo inafuatia Uganda kutangaza idadi ya walioambukizwa virusi vya homa hiyo kupanda na kupindukia 20
Kenya yachunguza kifo cha wakili aliyetuhumiwa kwa hongo
Madai dhidi yake yalifunguliwa Februari mwaka huu akidaiwa kuwahonga mashahidi hao hadi shilingi milioni moja za Kenya.
Raila atishia kuandaa maandamano dhidi ya mahakama ya juu
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga ameupinga uamuzi wa mahakama ya juu ya Kenya ulioidhinisha ushindi wa Wiiliam Ruto na kuwaonya majaji kutowazuia kutoa maoni akisema anaweza kuitisha maandamano ya kuwapinga majaji. Sikiliza mahojiano kati ya Rashid Chilumba na mchambuzi wa siasa kutoka Nairobi Barack Mulaka.
Kenya: Mafuta na petroli zapanda bei kwa shilingi 20
Bei ya mafuta na petroli nchini Kenya imepanda kwa shilingi 20 baada ya Rais William Ruto kuondoa ruzuku.
Ahadi za Ruto kwa Wakenya zitatimizwa vipi?
Rais mpya wa Kenya William Ruto alitoa ahadi chungu nzima kwa Wakenya ikiwemo kupunguza gharama ya maisha katika siku zake 100 za kwanza akiwa ofisini. Je, ataweza kutimiza ahadi hizo kikamilifu ama ilikuwa ni mbinu za kujitafutia kura wakati wa kampeni? Mchambuzi wa siasa kutoka Nairobi Barrack Muluka anazungumzia hayo
Malori kadhaa yamekwama katika mpaka wa Kenya na Tanzania
Sakata hili la magari makubwa ya kubeba mizigo kutokuwa na vibali limeanza tangu Juni mwaka huu.
Ruto na matumaini mapya kwa Wakenya
Ruto atakabiliwa na kibarua kipevu cha kuukabili upinzani imara kutoka kwa viongozi walioshindwa katika uchaguzi.
Kambi za kisiasa Kenya kuchuana kuwania uspika
Wachambuzi wa masuala ya siasa nchini Kenya wanansema mchakato huu utategemea na umaarufu wa mtu ataechaguliwa
Je, Raila ataachana na siasa baada ya kuangushwa tena?
Raila Odinga ni mwanasiasa mkongwe aliyeingia katika historia ya kuangushwa katika uchaguzi wa rais. Tangu mwaka 1997 ameshaangushwa mara tano, mara hii ameangushwa na William Samoei Ruto. Je umefika wakati wa mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 77 kuachana na siasa? Sikiliza mahojiano kati ya Saumu Mwasimba na mchambuzi wa kisiasa kutoka Nairobi Dr. Alutalala Mukwana.
Wakili asema Chebukati ni mwathiriwa wa ''tetesi za wongo''
Mawakili wanashikilia kuwa mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka,IEBC,Wefula Chebukati, ni shujaa na mwathiriwa.
Al-Shabab yatishia kuishambulia Kenya
Al-Shabab yenye mafungamano na Al-Qaeda imetoa taarifa jana ikitishia kufanya shambulio "ndani ya moyo wa Kenya" iwapo serikali ijayo haitaondoa wanajeshi wa Kenya nchini Somalia. Al-Shabab imesema imeionya serikali ya Kenya kuwa hatua ya wanajeshi wake kuivamia Somalia itakuwa na madhara makubwa. Sudi Mnette amezungumza na mjuzi wa masuala ya usalama wa Kenya, Enoc Makanga kuhusu kitisho hicho.
Kampeni za Ugavana Mombasa, Kakamega kukamilika
Je, wananchi wako tayari kwa uchaguzi huo wa Agosti 29 ambao uliahirishwa mara mbili mnamo tarehe 9 na 23 Agosti?
Raila awasilisha kesi mahakamani kupinga ushindi wa Ruto
Wakiwasili kwenye mahakama ya juu na lori zima la maboksi yaliyosheheni hati za ushahidi
Wabunge wa Marekani wawasili Kenya kuzungumzia uchaguzi
Ujumbe wa wabunge hao unaoongozwa na seneta Chris Coons utakutana pia na rais anaeondoka Uhuru Kenyatta.
Seikali ya Kenya kwanza kukabiliana na vitisho Kenya
Kenya kwanza kukabiliana na vitisho
Kenya yajiweka tayari kwa kesi za uchaguzi
Wanasiasa wa muungano wa Kenya Kwanza ulio chini ya rais mteule wa Kenya William Ruto wanakutana leo Jumatano (17.08.2022) na washindi wao wa uchaguzi.
Odinga akataa kuutambua ushindi wa William Ruto
Raila amebainisha kuwa watazangatia utaratibu wa sheria kupaza sauti yao.
Wakenya wanasubiri kuapishwa kwa rais mteule William Ruto
Viongozi wa mataifa mbalimbali wanaendelea kumpongeza rais mteule William Ruto na kumtakia mema.
Maoni: Uchaguzi wa Kenya 2022 mageuzi bado yanahitajika
Juhudi za kujenga uwazi na uwajibikaji sasa zitanuliwe na kuwajumuisha watendaji wengine kwenye mfumo wa uchaguzi.
William Ruto asema ushindi wake wa Urais hauna mashaka
Wakenya wameufungua ukurasa mpya baada ya kupata kiongozi mpya wa taifa.
Ruto atangazwa mshindi wa urais Kenya katikati mwa vurugu
Ruto ameshinda asilimia 50.49 ya kura dhidi ya asilimia 48.5 ya mpinzani wake Raila Odinga, alishindwa kwa mara ya tano.
Ruto: Kutoka mpwaguzi hadi rais aliechaguliwa Kenya
William Samoei Ruto, ni miongoni mwa watu ambao ni matajiri sana nchini Kenya, aliyeanzia chini kabisa kama muuza kuku.
Matokeo ya uchaguzi Kenya kutangazwa saa tisa
Matokeo ya uchaguzi wa Rais nchini Kenya ambayo yamekuwa yakisubiriwa kwa siku sita sasa yanakaribiwa kutangazwa.
IEBC: Odinga aongoza, Reuters: Ruto yuko mbele
Kufikia mchana wa Jumamosi, ni 26% tu ya kura zilizohisabiwa na IEBC tangu uchaguzi umalizike siku tano zilizopita.
Tuhuma za wizi wa kura zazuwa mashaka uchaguzi Kenya
Uchaguzi wa Jumanne umejidhihirisha kuwa vuta n'kuvute baina ya Naibu Rais William Ruto na Odinga.
Kenya: IEBC kuongeza kasi ya kuhakiki matokeo
Kenya: IEBC kuongeza kasi ya kuhakiki matokeo
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Rais wa Senegal Macky Sall yuko kwenye kiti moto baada ya muungano wake unaotawala kupoteza wingi bungeni.
Kilifi bado wanasubiri matokeo
Msimamizi mkuu wa uchaguzi kaunti ya Kilifi Hussein Gure amesema wanachelewa kwa kuwa kaunti ya Kilifi ni kubwa.
Chama cha UDA cha taraji ushawishi mkubwa bungeni Kenya
Chama cha UDA kinachoongozwa na Naibu rais William Ruto kinafurahia uungwaji mkono mkubwa licha ya kuwa chama kichanga.
Kenya: Televisheni zaacha kuchapisha matokeo ya urais
Vituo vya televisheni nchini Kenya vimeacha kuchapisha matokeo ya urais kadri yanavyotolewa, hatua iliyoibua wasiwasi.
Upinzani Tanzania watoa maoni kuhusu uchaguzi wa Kenya
Vyama vya upinzani nchini Tanzania vimekuwa na maoni mseto kuhusu uchaguzi wa Kenya.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 23
Ukurasa unaofuatia