You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ulaya yaitaka Kenya itangaze tarehe ya uchaguzi
Umoja wa Ulaya umeitaka serikali ya Kenya kutangaza siku ya uchaguzi ujao wa nchi hiyo na ipitishe sheria kabla ya hapo, ili kuepusha kurudiwa tena kwa machafuko baada ya uchaguzi wa mwaka 2004 nchini humo.
ICC yatiwa shaka na serikali ya Kenya
Ujumbe wa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahkama ya Kimataifa ya Uhalifu unawasili Kenya kukutana na Serikali kujadiliana ulinzi kwa mashahidi wa kesi inayowakabili washukiwa wa ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007.
ICC yagusa siasa za Kenya
Wakati Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, ikiangalia uwezekano wa mashtaka dhidi ya wanasiasa sita wa Kenya wanaoshukiwa kushiriki machafuko ya 2007, tayari serikali ya mseto nchini humo imegawika juu ya hatua hii.
Odinga kurejea Cote d'Ivoire wiki hii
Ziara yake ni juhudi ya hivi karibuni kujaribu kumshawishi rais Gbagbo aondoke madarakani na kumkabidhi mpinzani wake Alassane Ouattara.
Odinga kujiunga na ECOWAS kusuluhisha mzozo wa Cote d´Ivoire
Odinga amesema anakwenda leo Abidjan kukutana na Gbagbo halafu arejee Abuja kumpa taarifa rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan, ambaye ni mwenyekiti wa ECOWAS, kuhusu mazungumzo yake na bwana Gbagbo
Umoja wa Ulaya walamikia mateso dhidi ya mashahidi wa ghasia za uchaguzi Kenya
Umoja wa Ulaya waitaka Kenya kuwalinda mashahidi wa machafuko ya baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 na kuhakikisha wanaharakati wa haki za binadamu hawahangaishwi
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 23 wa 23
Ukurasa unaofuatia