You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kenya: Mwanasiasa auwawa Kisumu
Kenya imeripotiwa kwamba watu watatu wameuwawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa kufuatia maandamano yaliyogeuka kuwa vurugu hapo jana (29.10.2012) baada ya kuuwawa kwa mgombea wa ubunge wa chama cha ODM,Shem Onyango Kwega.
Kenya: Kundi la MRC waendelea kutafutwa na Polisi
Jeshi la Polisi nchini Kenya limeendelea kuwakamata watu mbalimbali ambao wanahusishwa na vuguvugu la ukombozi katika eneo la Pwani.
Kenya: Sheikh Mohamed Dor afikishwa mahakamani Mombasa
Nchini Kenya, mbunge wa kuteuliwa ambaye pia ni katibu mkuu wa Baraza la maimamu nchini Kenya Sheikh Mohamed Dor amefikishwa mahakamani mjini Mobasa leo akishtakiwa kwa uchochezi.
Polisi Kenya wawasaka viongozi wa MRC
Nchini Kenya Mambo yanazidi kutokota ambapo viongozi wa Baraza la Jamhuri ya Mombasa MRC wanaoshinikiza eneo la Pwani lijitenge na Kenya wanadai kuandamwa na serikali kwa kukamatwa viongozi wake.
Mahakama yawaruhusu Mau Mau kuishitaki Ungereza
Mahakama nchini Uingereza imetoa maamuzi kuwa wapiganaji wa zamani wa Mau Mau wa Kenya walioteswa na utawala wa kikoloni wa Uingereza wanaweza kufungua mashtaka dhidi ya serikali ya Uingereza dhidi ya ukatili dhidi yao.
Polisi Kenya yawasaka walioshambulia mkutano Mombasa
Polisi nchini Kenya hivi sasa ipo katika msako mkali kufuatia tukio la mauaji ya watu wanne na wengine kadhaa kujeruhiwa kwenye mashambulizi yaliyofanywa na watu wasiofahamika katika mkutano wa kisiasa mjini Mombasa.
Al-Shabaab waanza mashambulizi ya kuvizia Kismayu
Vikosi vya Umoja wa Afrika na vifaru viliingia mji wa Kismayu Jumanne, lakini wanamgambo wa Al-Shabaab walionya kuwa wataurejesha mji huo mikononi mwao, na kusema kwamba walihusika na mripuko wa bomu katika mji huo.
Kenya: Wazee wa wamijikenda waandamana
Nchini Kenya, wazee kutoka jamii ya Wamijikenda, leo (02.10.2012) wameandamana Mjini Mombasa kuishinikiza serikali kulishughulikia kwa haraka suala la kudumishwa amani na umiliki wa ardhi katika Mkoa wa Pwani.
Kugunduliwa kwa kaburi la halaiki eneo la Tana River nchini Kenya
Kaburi la halaiki linadaiwa kugunduliwa katika eneo la Tana River nchini Kenya, mkoa ambao umegubigwa na mapigano ya kikabila kati ya makabila ya Wapokomo na Waorma ambayo yamesababisha watu zaidi ya 100 kupoteza maisha.
Raila Odinga kuungwa mkono na chama cha KANU katika uchaguzi ujao
Chama cha siasa kilicholikomboa taifa la Kenya na ambacho nuru yake ya kisiasa hivi sasa imefifia kimetangaza kumuunga mkono mwenyekiti wa ODM Raila Odinga katika uchaguzi ujao.
Kenya: Naibu waziri wa mifugo aondolewa katika wadhifa wake
Naibu Waziri katika wizara ya mifugo nchini Kenya ambaye pia ni Mbunge katika eneo la Tana Tiver, Dhadho Godhana ameondolewa katika wadhifa wake.
Mauaji mengine Tana River
Watu wenye silaha kutoka jamii moja miongoni mwa mbili zinazohasimiana katika wilaya ya Tana iliyo mkoa wa Pwani wa Kenya wamewaua polisi watatu na kufanya mauaji mengine ikiwa ni mara ya tatu ndani ya siku tatu tu.
M-PESA: Simu ya mkononi inapokuwa benki
Mambo mengi yamebadilika nchini Kenya tangu pale kampuni ya simu za mkononi, Safaricom, kuanzisha huduma ya M-Pesa ambayo wateja huitumia kutuma fedha kupitia ujumbe mfupi wa maandishi kwa simu ya mkononi.
Mgomo wa walimu nchini Kenya waingia siku ya pili
Nchini Kenya mgomo wa waalimu leo umeingia katika siku ya pili na kuathiri shughuli nzima za sekta ya elimu
Hali mjini Mombasa ni shwari baada ya ghasia za siku tatu
Hali Mjini Mombasa nchini Kenya inasemekana kuwa shwari kufuatia ghasia zilizoanza siku ya jumatatu baada ya kuuwawa kwa kiongozi wa kidini anayehusishwa na kundi la kigaidi la Al Shabaab sheikh Aboud Rogo Mohammed.
Mauaji ya Sheikh Rogo: Alama ya ukatili au sura nyengine ya vita dhidi ya ugaidi?
Vidio iliyotumwa mitandaoni mara tu baada ya kuuawa kwa mhadhiri wa Kiislamu wa Mombasa, Sheikh Aboud Rogo Mohamed, inaelezea shaka ikiwa mauaji haya ni alama ya ukatili au ni sura nyengine ya vita dhidi ya ugaidi.
Ghasia zazuka Mombasa baada ya kuuawa Aboud Rogo
Mji wa Mombasa nchini Kenya umekumbwa na vurugu kufuatia kuuawa kwa mhubiri wa dini ya Kiislamu Aboud Rogo Mohammed, ambaye alihusishwa na makundi ya Kigaidi.
Waziri Mkuu Raila Odinga wa Kenya atembelea eneo la Mto Tana
Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga leo (24.08.2012) amelitembelea eneo la Mto Tana ambalo siku chache zilizopita lilikumbwa na ghasia za kikabila ambazo ziliuwa watu zaidi ya hamsini.
Kenya: Mwanasiasa mkongwe Martin Shikuku afariki dunia
Kenya inaomboleza kifo cha mwanasiasa mkongwe Martin Shikuku aliyefariki hapo jana baada ya kuugua kwa muda mrefu maradhi ya saratani.
Helikopta za Uganda zapotea
Helikopta tatu za Uganda zikiwa njiani kuelekea Somalia zimepotea katika ardhi ya Kenya. Maafisa wa jeshi la Kenya wamesema leo kwamba helikopta nne ziliondoka Uganda na moja ikatuwa mjini Garissa.
Kambi ya Dadaab yakabiliwa na mgogoro wa kibinaadamu
Mashirika ya misaada nchini Kenya yameonya juu ya janga la kibinaadamu linaloikabili kambi ya wakimbizi ya Dadaab, kutokana na ukosefu wa fedha za kuiendesha. Hali hii inatishia kuchochea hali mbaya ya Usalama.
Raia wa Iran wakamatwa na kasha la mripuko nchini Kenya
Maafisa nchini Kenya wanasema raia wawili wa Iran waliokamatwa nchini humo hivi karibuni na kugunduliwa kasha la mripuko, walipanga kuyashambulia maeneo yenye maslahi ya Marekani, Uingereza , Israel na Saudi Arabia.
Wasiwasi Kenya baada ya 17 kuuawa, 60 kujeruhiwa
Hali ya wasiwasi imetanda nchini Kenya kufuatia vifo vya watu 17 na wengine 60 kujeruhiwa mashambulizi mawili ya kigaidi yaliyotekelezwa katika makanisa mawili mjini Garissa hapo jana.
Kenya: Shambulio la kigaidi mjini Mombasa
Hali ya wasiwasi imezidi katika mji wa Pwani mwa Kenya wa Mombasa baada ya shambulio la kigaidi hapo jana (24.06.2012)
Kenya yaomboleza kifo cha Prof. Saitoti
Kenya imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kutokana na vifo vya Waziri wa Usalama, Prof. George Saitoti, na Naibu wake, Orwa Ojode, hapo jana (11 Juni 2012), huku baraza la mawaziri likifanya kikao cha dharura.
Chama kipya cha TNA chazinduliwa Kenya
Naibu waziri mkuu wa Kenya Uhuru Kenyatta amezindua chama chake kinachoitwa TNA The National Alliance hapo jana huku akisisitiza tena azma yake ya kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2013.
Kenya: Mtu mmoja afariki kufuatia shambulio la Gruneti mjini Mombasa
Nchini Kenya mtu mmoja amefariki na kujeruhiwa kufuatia shambulio la Gruneti mjini Mombasa.
Hali ya kisiasa nchini Kenya
Huko Kenya, hali ya kisiasa bado ni ya vute n'kuvute kuelekea uchaguzi mkuu.
Kenya: Musalia Mudavadi atakiwa ajiuzulu kutoka wadhifa wa Naibu Waziri Mkuu
Siku moja baada ya Musalia Mudavadi kujiuzulu kama Waziri wa serikali za Mitaa nchini Kenya,na kutangaza kujiondoa katika Chama cha ODM, chama hicho kimemtaka mbunge huyo ajiuzulu kutoka wadhifa wa Naibu Waziri Mkuu.
Naibu Waziri Mkuu Musalia Mudavadi wa Kenya ajiuzulu
Nchini Kenya, Naibu Waziri Mkuu Musalia Mudavadi leo amejiuzulu kama Waziri wa serikali za mitaa na kutangaza kukihama chama cha ODM.
Kenya: Shambulio la Guruneti katika kanisa mjini Nairobi
Hali ya wasiwasi imerudi tena jijini Nairobi kufuatia shambulio la Guruneti hapo jana katika kanisa moja mjini Ngara ambako watu kadhaa walijeruhiwa.
Kongamano la viongozi wa kitaifa wa Kiislamu nchini Kenya
Jukwaa la Viongozi wa Kitaifa wa Kiislam Kenya, wako katika mchakato wa kuandaa kongamano litakalowashirikisha waumini wa dini ya Kiislam na kujadili Kenya wanayoitaka, wakati taifa hilo likijiandaa na uchaguzi mkuu.
Wakimbizi wa Somalia walazimishwa kurejea makwao
Shirika la Kimataifa la Kutetea haki za binaadamu - Human Rights Watch limesema serikali ya Kenya haipaswi kuwarejesha wakimbizi nchini Somalia kwa sababu bado kuna mapigano yanayoendelea nchini humo.
Ufadhili kwa siasa kikwazo kwa uwazi
Licha ya tafauti za mifumo ya kifedha baina ya mataifa tafauti duniani, utafiti wa Taasisi ya Global Integrity unaonesha mataifa duniani yanalingana katika kushindwa kudhibiti kwa ufanisi fedha zinazoingia kwenye siasa.
Mabadiliko ya baraza la mawaziri nchini Kenya
Mabadiliko yaliyofanywa jana katika baraza la mawaziri nchini Kenya ambapo Waziri wa Utalii Najib Balala aliondolewa katika wadhifa wake yamezua hisia mbali mbali miongoni mwa wakenya.
Hatimaye watafiti wagundua sumu ya Mbungó
Mbungó hueneza magonjwa ya Nagana, ambayo yanakadiriwa kusababisha vifo vya ngómbe milioni tatu kila mwaka, hali inayoathiri vikubwa uzao wa wanyama hao. Lakini sasa kuna sumu ya kukabiliana nao.
Moto katika mlima Kenya
Makundi ya wanyama kama tembo na wengine wanakimbia moto mkubwa uliokuwa ukiteketeza msitu katika mlima Kenya , wakati kikosi cha kuhudumia wanyamapori nchini Kenya kikijitahidi kuudhibiti moto huo.
Wafanyakazi wa shirika la utangazaji KBC wagoma nchini Kenya
Zaidi ya wafanyikazo 1500 wa shirika la utangazaji nchini Kenya KBC wamegoma wakitaka kulipwa malimbikizi ya marupurupu yao ya mishahara ya jumla ya zaidi ya milioni 360.
Kenya: Waziri wa zamani wa Ulinzi Njenga Karume afariki
Waziri wa zamani wa Ulinzi nchini Kenya Njenga Karume amefariki dunia hii leo asubuhi mjini Nairobi baada ya kuugua saratani.
Juhudi zaidi kupambana na Al Shabaab zahitajika
Kundi la Kimataifa linaloshughulikia migogoro linasema ni lazima Kenya itafute mikakati maalum ya kushirikiana na Jamii ya Kimataifa katika kupambana na kundi hilo.
Kenya yagawanywa na maamuzi ya ICC
Maoni tofauti yanaendelea kutolewa nchini Kenya siku moja baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kutoa uamuzi wa kuthibitisha mashtaka dhidi ya washukiwa wanne kati wa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007.
Hatimaye ICC yatoa muelekeo wa siasa za Kenya
Wakenya walikuwa wakisubiri kwa hamu kubwa uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague, ambayo imewaona wanasiasa wanne wana kesi ya kujibu kwa kuhusika na vurugu za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007.
Ndege za Kenya zashambulia ngome ya Al Shababu na kuua 14
Jeshi la Kenya limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya kambi ya wanamgambo wa al Shabab nchini Somalia na kuua wanamgambo saba.
Mashambulizi ya anga yaua watu 10 Somalia
Mashambulizi ya ndege katika kijiji cha Hosungow kinachoshikiliwa na al Shabab nchini Somalia yameua watu 10 na kujeruhi wengine wengi, kwa mujibu wa mashahidi kijiji hicho kilishambuliwa na ndege za kivita za Kenya.
Al-Shabbab yaonya dhidi ya msaada wa Israel kwa Kenya
Kufuatia ziara ya Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, nchini Israel ambako ameomba msaada wa kupambana na kundi la Al-Shabbab, kundi hilo sasa linadai msaada huo ni kwa makusudi ya "kuwaangamiza Waislamu na dini yao".
Somalia yapinga majeshi ya Kenya kwenye ardhi yake
Rais wa Somalia, Sheikh Sharif Ahmed, amesema kwamba haikubaliki kwa majeshi ya Kenya kuweko Somalia bila ya kutolewa kibali na serikali yake, msimamo ambao unachukuliwa kuwa ni tafauti sana na ilivyofahamika mwanzoni.
Hofu yatanda Kenya baada ya mashambulizi ya bomu kwenye disko
Raia nchini Kenya wameingiwa na hofu na polisi imewataka kuchukua hatua za tahadhari zaidi kufuatia mripuko uliotokea usiku wa kuamkia leo (24.10.2011) katika klabu moja ya usiku jijini Nairobi.
Wasifu wa Abdikadir Hussein Mohammed: Ujerumani yamtunza "Obama wa Kenya"
Tuzo ya Ujerumani kwa Afrika mwaka huu wa 2011 inakwenda kwa mwanasiasa kijana wa Kenya, Abdikadir Hussein Mohammed, anayejuilikana kwa jina la utani la Obama wa Kenya. Lakini ni nani mwanasheria huyu aliyegeukia siasa?
Majeshi ya Kenya yaingia kwenye ardhi ya Somalia
Operesheni ya jeshi la Kenya dhidi ya wanamgambo wa Al-Shabbaab nchini Somalia, imeanza rasmi baada ya vifaru vya mamia ya wanajeshi wa Kenya kuingia Somalia wakiwa na mizinga, vifaru na helikopta za kivita.
Al-Shabbaab yaapa kukabiliana na wanajeshi wa Kenya nchini Somalia
Wanamgambo wa Al-Shabaab nchini Somalia wameahidi kulipiza kisasi dhidi ya wanajeshi wa Kenya walioingia katika ardhi ya Somalia kwa lengo la kuwatafuta raia wanne wa Ulaya waliotekwa nyara wiki iliyopita.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 22 wa 23
Ukurasa unaofuatia