You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kenya yakosolewa kwa kuwarejesha kwao Wasomali
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti leo likisema Kenya imewarudisha kwao Wasomali 359, wakiwemo wakimbizi wapatao 3, tangu ilipoanza operesheni ya usalama mapema Aprili 2014.
Watu 10 wauwawa kwenye milipuko Nairobi, Kenya
Watu wengine zaidi ya 70 wamejeruhiwa katika milipuko miwili kwenye eneo la shuguli nyingi la soko, Nairobi. Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ametoa risala za rambirambi kwa familia za wahanga wa hujuma hizo.
Kenya: Tishio la mashambulizi ya kigaidi mjini Mombasa
Nchini Kenya , Wakala mmoja wa usafiri lwa Uingereza linaendelea kuwaondoa watalii raia wa nchi hiyo mjini Mombasa kufuatia madai kwamba eneo hilo sio salama.
Watu 3 wauwawa kwa guruneti Mombasa
Watu 3 wameuwawa na wengine kadhaa kujeruhiwa Jumamosi (03.05.2014) wakati milipuko miwili ilipotokea katika mji wa bandari wa Mombasa katika pwani ya Kenya. Hayo ni kwa mujibu wa wizara ya mambo ya ndani ya nchi hiyo.
Shambulizi la bomu jijini Nairobi
Watu wanne waliuawa katika mripuko wa gari uliotokea jana jioni kwenye kituo cha polisi cha Pangani mjini Nairobi, Kenya, miongoni mwa wahanga wakiwemo maafisi wawili wa polisi.
Kenyatta ataka Kenya ijitegemee zaidi
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Alhamisi hii ametoa hotuba yake ya kwanza ya hali ya taifa mjini Nairobi, zikiwa zimesalia siku chache tu kabla ya kutimiza mwaka mmoja kamili madarakani.
Mkutano mkuu wa chama cha ODM waanza nchini Kenya
Chama cha siasa nchini Kenya, ODM, leo hii kimeanza mkutano wake mkuu wa siku mbili ambao pamoja na mambo mengine utafanikisha kupatikana kwa safu mpya ya uongozi wa chama hicho baada ya uchaguzi wa leo.
Waziri wa kigeni wa Kenya azuru Ujerumani
Waziri wa mashauri ya kigeni wa Kenya, Amina Mohamed, anazuru Berlin, Ujerumani. Jana (06.02.2014) alikutana na viongozi wa makampuni na mashirika ya kibiashara na kusisitiza umuhimu wa uwekezaji Kenya.
Waafrika wanaoshtakiwa ICC
Waafrika 24 hivi sasa wanakabiliwa na mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ilioko The Hague nchini Uholanzi. Hukumu moja tayari imetolewa lakini wengi wa washtakiwa bado hawakufikishwa mahakamani kwenyewe.
Mawakili wa Kenyatta waendelea kutoa hoja zao
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC , inaendelea kusikiliza hoja zinazotolewa na pande zote katika kesi ya uhalifu dhidi ya ubinadamu inayomkabili Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya.
Kenya: Ghasia zaibuka mjini Mombasa
Zaidi ya washukiwa 100 wanatazamiwa kufikishwa mahakamani leo Mombasa kufuatia ghasia za umwagikaji wa damu zilizokumba sehemu za mji huo jana jioni huku Polisi ikiwa bado inasita kutoa idadi kamili ya watu waliouawa.
Kesi dhidi ya Uhuru Kenyatta yaahirishwa
Mahakama ya Kimataifa inayoshughulikia kesi za Uhalifu wa kivita ICC mjini The Hague-Uholanzi, imepitisha uamuzi hapo jana wa kuahirisha kikao cha ufunguzi wa kusikilizwa kesi dhidi ya rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Kenya: Mradi wa ujenzi wa Reli wasimamishwa
Hatima ya mradi wa wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa nchini Kenya haijulikani kufuatia mzozo ambao umeibuka kati ya bunge na serikali.
Kenya kitovu cha mafuta Afrika Mashariki?
Kenya huenda ikawa kitovu cha uzalishaji mafuta katika ukanda wa Afrika Mashariki, kufuatia kampuni ya uchimbaji mafuta ya Tullow ya nchini Uingereza, kugundua mafuta katika eneo la bonde la Lokichar.
Kuhamia teknolojia ya digitali Kenya bado changamoto
Raia wa Kenya bado wana hofu na mchanganyiko wa kuhama kutoka matumizi ya teknolojia ya utangazaji ya analojia na kuhamia teknolojia ya digitali.
Uganda,Rwanda, Kenya wakubaliana himaya moja ya ulinzi
Mawaziri wa ulinzi na wa mambo ya ndani kutoka nchi za Uganda,Rwanda na Kenya wametia saini makubaliano kuweka himaya moja ya ulinzi miongoni mwa nchi hizo.
Wakuu wa majeshi, polisi wakutana Kigali
Wakuu wa majeshi na polisi kutoka nchi za Rwanda, Uganda na Kenya wanakutana mjini Kigali wiki moja baada ya nchi hizo kuamua kutumia vitambulisho vya kawaida kusafiria baina yao.
Mashambulizi mengine Mombasa;10 wajeruhiwa
Nchini Kenya watu 10 wamejeruhiwa wakati washambuliaji waliporusha guruneti ndani ya mkahawa mmoja katika mji wa pwani wa Mombasa na kuzusha hofu ya usalama katika eneo hilo tete.
Sheria ya Vyombo vya habari yasainiwa Kenya
Vyombo vya habari vya ndani na nje ya Kenya vimeripoti kuwa rais Uhuru Kenyatta wa taifa hilo ametia saini muswada tata wenye kubana uhuru wa habari wa taifa hilo na kuwa sheria.
Polisi Kenya kupewa mamlaka ya kuuwa
Serikali ya Kenya yatoa mapendekezo yatakayoipa polisi nchini humo nguvu na mamlaka ya kuuwa katika oparesheni zao.
Mgomo wa madaktari nchini Kenya
Kenya imeanza sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa taifa hilo huku wananchi wake wakitaabika na adha ya kupata matibabu kutokana na mgomo wa madaktari ambao leo hii unaingia siku yake ya pili.
Kenya:Rais Kenyatta atakiwa kuwepo ICC
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC imeubatilisha uamuzi ambao ulimkubalia Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kuhudhuria baadhi tu ya vikao vya kesi yake, ikisema kuwa kiongozi huyo ni lazima afike mahakamani.
Ombi la Kuahirishwa kwa kesi ya Kenyatta na Ruto lakataliwa
Viongozi wa Jubilee nchini Kenya, wameyakosoa mataifa ya Magharibi kwa kuisaliti Kenya na kwamba yamechangia kushindwa kwa hatua ya Umoja wa Afrika ya kulitaka Baraza la Usalama, kuahirisha kesi ya Kenyatta na Ruto.
Wafugaji Kenya kunufaika na Bima ya mifugo
Bima ya Mifugo Nchini Kenya imeimarisha maisha ya wafugaji, ambapo idadi kubwa ya wafugaji sasa wanalipwa mifugo yao inayopotea kwa kuibiwa au kuathirika na majanga kama vile ukame.
Kenya yafikiria sera ya mwanamke 1 watoto 2
Utafiti uliofanywa nchini Kenya umeonesha taifa hilo litashindwa kufikia dira yake ya maendeleo ya mwaka 2030 kutokana na wingi wa watu na sasa linataka kuanzishwa sera ya mwanamke kutozaa zaidi ya watoto wawili.
Kenya yapitisha sheria kali dhidi ya vyombo vya habari
Vyombo vya habari vya Kenya vimekasirishwa na hatua ya bunge kuupitisha mswaada wa sheria unaoipa serikali nguvu za kuwapiga faini kubwa waandishi wa habari kwa kwenda kinyume na kile kinachoitwa 'maadili ya uandishi.'
Ajali ya treni na basi yawauwa watu 12 Nairobi
Kiasi ya watu 12 wameuawa baada ya treni la abiria kuligonga basi lililokuwa likivuka reli jijini Nairobi, Kenya. Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya limesema watu wengine wamejeruhiwa kufuatia ajali hiyo mbaya
Mnorway atuhumiwa kupanga uvamizi wa Westgate
Raia wa Norway mwenye nasaba ya kisomali anashukiwa kuwa miongoni mwa washambuliaji waliolivamia jengo la maduka la Westgate mjini Nairobi, Kenya, (21.09.2013) uliopita ambapo watu 67 waliuwawa.
ICC hailiandami bara la Afrika
Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu-ICC, Jaji Sang-Hyun Song, amesema mahakama hiyo haijawahi kuilenga nchi yoyote ile ya Afrika. Alikuwa akijibu tuhuma kwamba ICC ina upendeleo na ubaguzi
Umuhimu wa mafuta Afrika
Chad inachimba mafuta kwa miaka 10 sasa, lakini nchini hiyo bado kupiga hatua zozote za kimaendeleo, huku Ghana ikisifiwa kama mfano wa kuigwa. Uganda na Kenya nazo ziko njiani kuanza kuchimba mafuta.
AU yataka kesi dhidi ya Kenyatta katika ICC iahirishwe
Viongozi katika mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia, wametaka kesi inayoendelea katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu - ICC dhidi ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta icheleweshwe
Mawakili wataka kesi ya Kenyatta ifutwe ICC
Mawakili wa rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wameomba kufutwa kwa kesi inayomkabili rais huyo na makamu wake katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa madai ya kutishiwa kwa mashahidi katika kesi hiyo.
Kenya yasema al Shabaab imekita mizizi
Ripoti ya shirika la taifa la kijasusi nchini Kenya, NSIS, inaonyesha kuwa shirika hilo linaamini kuwa makundi ya itikadi kali kama vile Al shabab la nchini Somalia yameimarisha mitandao nchini Kenya na kugeuka tishio.
Kenya yatangaza majina ya magaidi
Serikali ya Kenya imetaja majina ya watu 4 waliofanya shambulizi la kigaidi kwenye jengo la kibiashara la Westgate mjini Nairobi, na kutoa picha za video zinazowaonyesha magaidi hao ndani ya jengo walilolishambulia.
Kenya yawaombea wahanga wa shambulizi la Westgate
Ni siku 9 sasa tangu mkasa wa Shambulizi la magaidi kutokea katika Jumba la kibiashara la Westgate mjini Nairobi, Kenya. Serikali imeandaa maombi ya kitaifa yanayojumuisha dini zote kuombea usalama wa nchi
Westgate yafungua mlango kwa Kenyatta
Wakati shambulio dhidi ya kituo cha Westagate mjini Nairobi linaathiri sekta ya utalii na uwekezaji nchini Kenya, wachambuzi wanasema pia linatoa fursa kwa rais wa nchi hiyo kujinasua katika mtego wa mahakama ya ICC.
Al-Shabaab yadai mateka 137 wamefariki
Kundi la Al-Shabaab limedai siku ya Jumatano kuwa mateka 137 waliowachukua wamekufa katika uvamizi wa kituo cha biashara, idadi ambayo ni vigumu kuithibitisha na kubwa kuliko idadi iliyotangazwa kuwa hawajulikani walipo.
Idadi ya waliouwawa Nairobi huenda ikaongezeka
Wingu la simanzi bado limetanda Kenya kufuatia shambulio la kigaidi lililofanywa katika jengo la maduka ya kifahari la Westgate jijini Nairobi. Zaidi ya watu 60, wameuwawa na idadi hiyo huenda ikaongezeka.
Jeshi la Kenya bado linapambana na magaidi Westgate
Shughuli za uokozi zinaingia siku ya nne tangu jengo la maduka la Westgate jijini Nairobi kushambuliwa na magaidi Jumamosi na kusababisha zaidi ya watu 60 kuuwawa na wengine wengi kupata Majeraha.
Shambulio la Nairobi na jibu la walimwengu
Kwa mujibu wa viongozi wa serikali ya Kenya,wanamgambo wanaohusika na shambulio dhidi ya jengo la biashara mjini Nairobi ni wa nchi tofauti,ikiwa ni pamoja na Marekani.Korti kuu ya kimataifa imeahidi kusaidia
Ruto aenda ICC
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto anakwenda The Hague, Uholanzi, leo ikiwa ni siku moja kabla ya kuanza kesi inayomkabili katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu dhidi ya Binaadamu (ICC) mjini humo.
Kenya yataka kujitoa katika mkataba wa Roma
Wabunge wa Kenya wamepiga kura kujitoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), lakini mahakama hiyo inasema kesi dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wake, William Ruto, itaendelea kama kawaida.
Rais Uhuru aanza kutatua tatizo la ardhi Kenya
Utoaji wa hati za kumiliki ardhi umeleta matumaini makubwa miongoni mwa wakaazi wa Pwani ya Kenya ambao kwa muda mrefu hawajawahi kuona kitu kama hicho kikitendeka.
Mahakama ya ICC yaionya Jubilee, Kenya
Onyo hilo linakuja huku bunge la Kenya likitarajiwa kukutana Alhamisi (05.09.2013) kujadili kesi zinazowakabili viongozi wa muungano wa Jubilee katika mahakama ya mjini The Hague.
Mapigano ya kikabila nchini Kenya
Hali bado ni ya taharuki katika kaunti ya Marsabit kaskazini mwa Kenya baada ya watu 20 kuuwawa kutokana na mapigano ya kikabila yaliyotokea jana mchana.
Kenya: Ziara ya Obama Afrika
Rais wa Marekani Barack Obama anaanza ziara yake ya pili barani Afrika wiki hii katika nchi tatu,Senegal,Afrika Kusini na Tanzania.
Uingereza kuwalipa Mau Mau shilingi bilioni 2.6
Uingereza atawalipa Wakenya zaidi ya 5,000 shilingi bilioni 2.6 kama fidia kwa mateso waliyofanyiwa na wanajeshi wa Uingereza wakati wa vuguvugu la Mau Mau kati ya mwaka 1952 na 1960.
ICC: Yumkini Ruto kushtakiwa Afrika
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu inaweza kuendesha kesi yake kwa mara ya kwanza nje ya The Hague baada ya majaji wake kusema kwamba yumkini wakaendesha kesi dhidi ya makamo wa rais wa Kenya katika nchi yake auTanzania.
Wakimbizi wa kisomali wadhalilishwa Nairobi
Ripoti ya Human Rights Watch iliyochapishwa Nairobi imeorodhesha visa 1000 vinavyoonyesha jinsi wakimbizi wa kisomali walivyokuwa wakitendewa maovu, wakipigwa, wakipokonywa mali zao na kubakwa na polisi ya Kenya.
Bensouda alia na Umoja wa Afrika
Mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC, Fatou Bensouda amewajibu wakosoaji, baada ya Umoja wa Afrika kuishtumu mahakama hiyo kwa ubaguzi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 20 wa 23
Ukurasa unaofuatia