You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Jeshi la Kenya laishambulia al-Shabab Somalia
Ndege za kivita za Kenya zimeshambulia ngome ya al-Shabaab karibu na mji wa bandari ya kusini ya Kismayo
Siku ya Kimataifa ya kupambana na ufisadi duniani
Leo ni siku ya kimataifa ya kupambana na ufisadi duniani, ambapo maudhui ya mwaka huu ni "Kata mnyororo wa ufisadi".
Mmoja afa baada ya zoezi la kiusalama Kenya
Polisi Kenya inachunguza zoezi la kupima utayari wa kukabiliana na shambulizi la magaidi katika chuo cha Strathmore,
Kenya yatisha kujiondoa
Kenya yatisha kujiondoa
Papa atembelea mtaa wa mabanda Kenya
Papa aliwahimiza viongozi kuhakikisha wakaazi wa mitaa ya aina hiyo wanapata huduma za kimsingi sawa na watu wengine.
Papa Francis amewasili Kenya
Usalama umeimarishwa na barabara kadha jijini Nairobi kufungwa kwa sababu ya ujio wa Baba Mtakatifu.
Umoja wa Afrika waishambulia mahakama ya ICC
AU yasema mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC haitendi haki kwa watu wote
Mapambano dhidi ya uwindaji haramu Kenya
Biashara haramu ya kimataifa inayotishia kuangamiza wanyamapori
Viongozi wa Sudan Kusini kufikia makubaliano kamili leo
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar wanatarajiwa kutia saini makubaliano ya amani leo
Kenya kuongoza msukumo wa vuguvugu la Pan African
Kenya imeahidi kuongoza msukumo wa vuguvugu la Pan-African ili kuiwezesha Afrika kuendesha agenda ya maendeleo
Obama aitaka Kenya kufuata barabara ya maendeleo
Rais wa Marekani Barrack Obama amekamilisha ziara yake ya siku tatu nchini Kenya
Obama awasili nchini Ethiopia
Wanaharakati Ethiopia watilia shaka ziara ya Obama wakihofia itaipa uhalali serikali inayokiuka haki za binaadamu
Obama aipa changamoto Kenya kuhusu haki za mashoga na rushwa
Rais wa Marekani Barack Obama anakamilisha ziara ya kihistoria ya siku mbili Kenya ambako atalihutubia taifa hilo
Obama: Uchaguzi wa Burundi sio wa kuaminika
Rais Barack Obama wa Marekani ameushutumu uchaguzi wa Burundi wa wiki hii kwamba ulikuwa hauaminiki
Ahadi ya Obama ya nishati Afrika yagonga mwamba
Ahadi ya Obama ya nishati Afrika yagonga mwamba
'GES utaiweka Afrika kwenye ramani'
Mchambuzi wa masuala ya kiuchumi, James Shikwati, asema mkutano wa wajasiriamali utakaofanyika Nairobi utaleta tija.
Rais Obama atatembelea Kogelo?
Bado hakuna uhakika iwapo Barack Obama atatembelea Kogelo, kijiji cha ndugu zake, atakapokuwa ziarani Kenya.
Kenya yajiandaa kwa ziara ya Obama
Pilika pilika zapamba moto Nairobi kumpokea Barack Obama
Wachambuzi waonya Al Shabab yatanua operesheni zake Kenya
Wachambuzi waonya Al Shabab yatanua operesheni zake Kenya
Mchakato wa amani ya Sudan Kusini kuendelea
Wanasiasa watano wa upinzani waliotuhumiwa kupanga mapinduzi yaliyoshindwa mwaka wa 2013 nchini Sudan Kusini wamerejea nyumbani kutoka Kenya kufuatia mazungumzo yaliyofanywa chini ya upatanishi wa viongozi wa Afrika
Burundi yahimizwa iahirishe uchaguzi
Burundi yahimizwa iahirishe uchaguzi
Al-Shabaab wavamia, wauwa polisi Kenya
Maafisa 13 wa Kenya hawajulikani walipo, na wengine watano wakiwa wamejeruhiwa
Kenya yataka kambi ya Daadab ifungwe
Kenya yataka kambi ya Daadab ifungwe
Serikali ya Kenya yakosolewa kushindwa kuzuia mauaji
Ulinzi umeimarishwa katika msimu wa Pasaka, huku Wakenya wakitaka majibu ya kwa nini polisi na vikosi vya usalama vilishindwa kuzuia mauaji ya maangamizi kwenye Chuo Kikuu cha Garissa mara moja.
Idadi ya waliouwawa Kenya huenda ikapanda
Idadi ya waliouwawa Kenya huenda ikapanda
Dunia yaungana na Kenya
Dunia inaungana na Kenya kufuatia mauaji ya kikatili dhidi ya wanafunzi 147 wa Chuo Kikuu cha Garissa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo yaliyofanywa na wanamgambo wa kundi la al-Shabaab.
Ukuta kujengwa Lamu kuwazuia magaidi
Kaunti ya Lamu inataka kuutumia ukuta huo kukabiliana washukiwa wa ugaidi wasiingie kutokea nchi jirani ya Somalia.
Mashirika ya ndege yaungana Somalia
Mashirika mawili ya ndege yanayoendesha safari zao nchini Somalia yanaungana hii leo (19.02.2015) huku anga ya nchi hiyo ikisababisha mashindano makubwa kati ya mashirika mbalimba ya ndege.
Steinmeier ziarani mashariki mwa Afrika
Steinmeier ziarani mashariki mwa Afrika
Ukeketaji: desturi haramu inayoendelea
Ingawa desturi hiyo ni ya ukatili, jamii ya wafugaji ya Pokot nchini Kenya inaiendeleza.
Rais Kenyatta atia saini mswada dhidi ya Ugaidi
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametia saini kuwa sheria mswada wenye utata wenye lengo la kupambana na ugaidi na kusababisha wabunge kutupiana ngumi bungeni na kuzusha madai kuwa unakiuka misingi ya uhuru
ICC yaliandama bara la Afrika
Mahakama ya uhalifu ya kimataifa (ICC) yenye wanachama 122 imeanza mkutano wake huku zingatio likiwa ni bara la Afrika, na huku ikiandamwa na kivuli cha kufutwa kwa kesi dhidi ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Al Shabaab wadai kufanya mauaji mengine Kenya
Kundi la wanamgambo walio na itikadi kali la Al Shabaab limetekeleza mauaji ya wafanyakazi 36 katika eneo la kuchimba mawe Kaskazini Mashariki mwa Kenya.
Ukimwi bado tishio
Leo ni siku ya Ukimwi Duniani, ambapo mwaka huu umetajwa kuwa ni mwanzo wa mwisho wa Ukimwi, lakini wanaharakati wanasema bado hiyo haimaanishi kwamba maradhi haya thakili yatamalizika hivi karibuni.
Kenya: Vikosi vya usalama vyawekwa katika hali ya tahadhari
Vyombo vya usalama nchini Kenya vimewekwa katika hali ya tahadhari kuzuia maafa zaidi kufuatia kuuawa kwa maafisa 21 wa polisi wa utawala katika Kaunti ya Baringo na kuvamiwa kwa kambi ya jeshi huko pwani ya Kenya.
Kenya yalaumiwa kutojibu haraka mashambulizi
Wakala wa usimamizi wa jeshi la Polisi nchini Kenya umesema Vyombo vya usalama nchini humo vinahitaji kuboresha uratibu na miundo ya uongozi ili kuepuka kurudiwa kwa mashambulizi ya mwezi juni yaliyowaua watu 65:
Kenya: Odinga apendekeza mfumo wa utawala wa bunge
Muungano wa upinzani CORD sasa unataka kuondolewa kwa mfumo wa utawala wa urais na kurejeshwa kwa mfumo wa utawala wa bunge.
Rais Uhuru Kenyatta atakiwa kufika ICC
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC Ijumaa (19.09.2014) imemtaka rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kufika katika mahakama hiyo kwa madai kwamba serikali yake inazuwia nyaraka zinazotakiwa na mwendesha mashataka.
ICC: Mawakili wa Rais Kenyatta wataka kesi ifungwe
Mawakili wa Rais Kenyatta wametaka kesi inayomkabili ifungwe kabisa kwa sababu ya mahakama imekosa ushahidi dhidi yake.
Je, Afrika iko tayari kuushinda ugaidi?
Licha ya viongozi wa Kiafrika kukutana jijini Nairobi kuzungumzia mikakati ya kupambana na ugaidi, wasiwasi uliopo ni ikiwa kweli Afrika iko tayari kukabiliana na tatizo hili la kimataifa.
Kenya kupiga marufuku wasafiri kutoka Afrika magharibi
Kenya imekuwa moja kati ya nchi zilizochukua hatua ya kupiga marufuku wasafiri kutoka maeneo yaliyoathirika na ugonjwa wa Ebola katika Afrika magharibi na Nigeria yachukua hatua kuzuwia kusambaa kwa ugonjwa huo.
Mashambulizi mengine yatokea Pwani ya Kenya
Taarifa kutoka wilaya ya Lamu iliyoko Pwani ya Kenya, zinaeleza kwamba wananchi waliojawa na woga kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara wamekuwa wakilala vichakani, wakihofia kuvamiwa ndani ya nyumba zao usiku.
Kenya yaelekea wapi?
Mwishoni mwa miaka ya '60, mshairi Abdilatif Abdulla kutoka pwani ya Kenya aliwahi kuandika shairi akiuliza "Kenya Twendapi?", swali ambalo hadi sasa limesalia bila majibu, hasa kutokana na kuzorota kwa hali ya usalama.
Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Kenya
Kiasi ya watu ishirini waliuawa siku ya Jumapili katika eneo la Wajir kaskazini mashariki mwa Kenya kufuatia mapigano makali kati ya makabila hasimu katika eneo hilo linalopakana na Somalia.
Kenya: Mauaji mengine yatokea Mpeketoni
Nchini Kenya wakati serikali ikiimarisha juhudi zake za kupambana na ukosefu wa Usalama ndani ya Taifa hilo,bado mashambulio zaidi yanaendelea kushuhudiwa katika sehemu mbali mbali za nchini humo.
Mashambulizi ya kigaidi Kenya: Wanasiasa waonyesheana vidole
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema mashambulizi mawili yaliyowauwa watu zaidi ya 60 kisiwani Lamu hivi karibuni hayajafanywa na kundi la Al Shabab bali na mtandao wa wanasiasa waliopo nchini humo na wahalifu.
Maoni: Matamshi ya Rais Kenyatta yahatarisha amani Kenya
Nchini Kenya watu zaidi ya 60 wamepoteza maisha kutokana na shambulio la bomu. Kundi la wapiganaji wa Kiislamu la al-Shabaab kutoka Somalia limekiri kuhusika na shambulio hilo.
Al-Shabaab yaua wengine 10 Kenya
Watu wengine zaidi ya 10 wameuawa kwenye mashambulizi mapya karibu na pwani ya Kenya, ikiwa ni masaa 24 tu tangu wanamgambo wa al-Shabaab kuuawa watu 50 kwenye eneo hilo hilo.
Vyombo ya habari nchini Kenya havina uzalendo?
Nchini Kenya waandishi habari wanadaiwa kutokuwa na uzalendo kwa namna wanavyoripoti juu ya masuala ya ugaidi yanayoendelea nchini humo.
CORD Kenya kufanya maandamano
Muungano wa upinzani nchini Kenya CORD unaoongozwa na Raila Amolo Odinga unapanga kuanzisha harakati kubwa za umma kudai mabadiliko nchini humo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 19 wa 23
Ukurasa unaofuatia