You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kura zilizoharibika zaibua maswali Kenya
Kinacholaumiwa ni ukosefu wa elimu ya kutosha kwa wapigakura ambao hawakufahamu namna ya kutumia karatasi la kura.
Kenya yasubiri matokeo ya mwisho kwa wasiwasi
Tume ya uchaguzi Kenya inajiandaa kutangaza matokeo ya mwisho Ijumaa katika uchaguzi uliokuwa na ushindani mkali.
Maoni: Historia yajirudia Kenya
Ingawa matokeo rasmi hayajatolewa, hakuna shaka kwamba rais Uhuru Kenyatta atashinda. Cha msingi ni pasiwe na machafuko.
Waangalizi: Uchaguzi Kenya ulikuwa huru
Makundi hayo yamesema kuwa uchaguzi huo ulifanywa katika mazingira ya amani na utulivu kote nchini.
Wagombea wa kujitegema wajitokeza kwa wingi
Takribani nusu ya wagombea binafsi waliojitokeza katika uchaguzi mkuu wa Kenya wamefanikiwa kushika nafasi mbalimbali.
Odinga apinga matokeo ya awali Kenya
Muungano wa upinzani NASA umekataa matokeo yanayomweka Rais Uhuru Kenyatta mbele ya mpinzani wake Raila Odinga.
Kenya yaamua: Matokeo ya urais yaendelea kutolewa
Msikilize mwandishi wetu Reuben Kyama, na habari za hivi punde kutoka kituo kikuu cha kujumlisha kura jijini Nairobi
Kenya yaamua: Hali mjini Kisumu
Kama anavyoripoti mwandishi wetu kutoka mjini Kisumu, John Marwa, hali mjini humo ni tulivu huku shughuli za biashara zikirejelea hali ya kawaida
Kenya yaamua: Hali mjini Nakuru
Ripota wetu Wakio Mbogho anasema hali ya usalama imeimarishwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Bonde la Ufa
Kenya yaamua: Hali mjini Mombasa
Msikilize mwenzetu Jacob Safari na matukio ya karibuni kuhusu hali halisi katika kaunti ya Mombasa, ambapo kuna ushindani mkali
Kenyatta anaongoza katika matokeo ya uchaguzi Kenya
Odinga ameyapinga matokeo akisema kuwa ni ya "kubuni" na "bandia hali inayozusha wasiwasi wa kuzuka maandamano
Kenya Yaamua: Hali mjini Nakuru
Mjini Nakuru mwandishi wetu Wakio Mbogo anatufahamisha hali halisi wakati huu katika eneo hilo la bonde la ufa
Kenya Yaamua: Hali mjini Nairobi 2
Mwandishi wetu Reuben Chama yuko mtaa wa South B jijini Nairobi ambapo wapiga kura walirauka mapema
Kenya Yaamua: Hali mjini Mombasa
Sikiliza mahojiano na mwandishi wetu Jacob Safari ambaye anafuatilia uchaguzi wa Kenya kutoka mjini Mombasa
Kenya Yaamua: Hali mjini Kisumu
Sikiliza mahojiano na mwandishi wetu John Marwa akiwa Kisumu, ngome ya kiongozi wa upinzani Raila Odinga
Wakenya wapiga kura kumchagua rais mpya
Ni uchaguzi ambao uchunguzi wa maoni umesema utakuwa kinyang'anyiro kikali kati ya wagombea wawili wakuu wa urais
Ulinzi waimarishwa Kenya mkesha wa uchaguzi
Hii leo Wakenya wamekuwa wakithibitisha ikiwa majina yao yapo kwenye daftari la wapiga kura katika kila kituo
Ujumbe wa Wakfu wa Jimmy Carter kwa Kenya wakati wa uchaguzi
Idara ya mahakama ambayo imepongezwa na wakfu huo, imesema ipo tayari kushughulikia kesi zote zitakazowasilishwa
Kenya yajiandaa kwa uchaguzi
Wakenya wanasubiri kuchagua viongozi watakaowaongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitano siku ya Jumanne.
Hisia kutoka Tanzania kuhusu uchaguzi wa Kenya
Edward Lowassa, ameweka hadharani turufu yake akimuunga mkono mgombea wa Jubilee, Rais Uhuru Kenyatta
Wasiwasi Kenya kuhusu vituo visivyoweza kutuma matokeo
Mashirika ya kijamii katika Kaunti ya Baringo yahofia baadhi ya wakaazi hawatoweza kushiriki zoezi la kupiga kura
Kampeni za Uchaguzi wa bunge na rais zinakamilishwa Kenya
Wagombea kiti cha rais Kenya wanahitimisha kampeni zao kabla ya uchaguzi wa Jumanne ambao unatarajiwa kuwa mkali
Polisi yathibitisha kuwapa ulinzi maafisa wa uchaguzi Kenya
Waangalizi wa Umoja wa Ulaya wameelezea wasiwasi kuhusu usalama wa maafisa wa tume ya uchaguzi nchini Kenya
Usalama wa maafisa wa tume ya uchaguzi Kenya
Waangalizi wa Umoja wa Ulaya walioko nchini Kenya wameelezea wasiwasi baada ya Mkurugenzi wa teknolojia na mawasiliano wa tume ya uchaguzi ya IEBC kuuawa kinyama mwishoni mwa wiki iliyopita.
Maandamano Kenya kufuatia kifo cha asfisa wa uchaguzi
Sikiliza mahojiano na Mwanaharakati wa haki za binaadamu Ken Wafula kuhusu maandamano yao
NASA yataka nafasi ya Msando apewe mtaalamu wa kigeni
Muungano wa upinzani Kenya - NASA umeonya uchaguzi hautakuwa huru na wa haki kama hakutakuwa na mtalaamu wa kigeni
Mahojiano kuhusu kifo cha afisa wa tume ya uchaguzi Kenya
Mwili wa meneja wa teknolojia na mawasiliano wa tume inayosimamia uchaguzi Kenya IEBC Chris Musando umepatikana, siku tatu tu baada ya afisa huyo kutoweka
Makaazi ya Naibu Rais wa Kenya yashambuliwa
Watu wenye silaha ambao hawakutambuliwa wameshambulia nyumbani kwa Naibu Rais wa Kenya William Ruto siku ya Jumamosi
Kenya yaondoa vikwazo dhidi ya bidhaa za Tanzania
Kenya yaondoa vikwazo dhidi ya gesi na ngano kutoka Tanzania lakini suala la viza bado lajadiliwa
Wakimbizi wa Somalia wajuta kurejeshwa nyumbani
Somalia inayokabiliwa na machafuko, yakabiliwa pia na kuvurugika kwa mfumo wa elimu
Watu watatu wauawa Mandera
Elwak, mahala hasa ambapo mashambulizi hayo yametokea, pako karibu na mpaka wa Somalia.
IEBC yakutana na wagombea Urais Kenya
Nchini Kenya tume ya uchaguzi imekutana na baadhi ya wagombea urais baada ya upinzani kudai ukiukwaji wa zabuni ya kuchapisha karatasi za kura. Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa Profesa Tom Namwamba anayesema ni kama wapinzani hawako tayari kwa uchaguzi. Sikiliza mahojiano.
Jubilee nayo yataka mfumo mbadala wa kura
Kama ilivyokuwa kwa muungano wa NASA, sasa nao Jubilee wanaripotiwa kuona haja ya kuwa na mfumo wa kukusanyia matokeo.
Kenya yazindua reli ya kisasa
Kawaida, safari hii hapo kabla ilikuwa inafanyika katika reli moja na kusababisha ajali na watu wengi kupoteza maisha.
Wakenya wataka usalama kwa wanajeshi
Maafisa 11 wa usalama wameuliwa na mabomu ya kutegwa ardhini kwenye mpaka kati ya Kenya na Somalia.
Wagombea wanawake Kenya walia na vitisho
Uchaguzi mkuu unafanyika mwezi Agosti
Muungano wa NASA watishia kususia uchaguzi
Muungano wa upinzani nchini Kenya, NASA umetishia kufanya maandamano na kususia uchaguzi ujao.
Serikali ya Kenya kudhibiti mfumuko wa bei
Wabunge wameunga mkono mswaada utakaowezesha kushusha gharama ya juu ya maisha inayoshuhudiwa wakati huu.
Upinzani Kenya kususia uchaguzi mkuu?
Muungano wa upinzani Kenya NASA, wataka kuruhusiwa kutangaza matokeo kwenye vituo vya kura ama utasusia uchaguzi mkuu.
Uhuru wa wanahabari bado ni tatizo-CPJ
Kamati ya kuwalinda wanahabari CPJ imechapisha ripoti yake ya kila mwaka leo, iliyopewa kichwa cha maneno.
Dunia yaadhimisha siku ya Malaria
Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku ya malaria leo, shirika la afya duniani WHO limefahamisha.
Uchaguzi wa mchujo Jubilee waahirishwa Nakuru
Uchaguzi wa mchujo umeahirishwa kufutia malalamiko na madai ya udanganyifu
Kenyatta aonya wanaovuruga amani
Wagombea watakaozusha ghasia kwenye mchujo wa chama cha Jubilee hawataruhusiwa kuwania viti mbalimbali chamani.
Vyama vyapiga kura kuteua wagombea Kenya
Kura za mchujo zimeanza huku mtafaruku ukiukumba uteuzi wa chama pinzani ODM kilichoanza shughuli hiyo hivi karibuni.
Wahanga wa mateso ya polisi Kenya, kupata haki mahakamani sasa
Wahanga waliopitia unyama na mateso mikononi mwa polisi nchini Kenya sasa wako huru kuishtaki serikali ya nchi hiyo ili walipwe fidia.
Baa la njaa: Uko wapi umoja wa Afrika?
Mshikamano kati ya mataifa ya Afrika kuhusiana na janga hilo hauonekani, licha ya AU kuitisha vikao kuujadili.
Rais wa Somalia ziarani Kenya
Amesema Kenya na Somalia zimeafikiana kushirikiana katika nyanja za usalama, elimu na miundombinu.
Joho azuiwa kuhudhuria uzinduzi wa feri
Gavana Joho amejitokeza kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya rais Uhuru hususan katika masuala ya maendeleo ya Pwani.
Kenyatta awasihi Madaktari kurejea kazini
Rais Uhuru Kenyatta amewarai Madaktari kurejea kazini ili kuepusha mateso yanayowakuta wakenya wanaotafuta matibabu katika taasisi za afya za umma. Amesema hayo huku kamati ya viongozi wa kidini wakiingilia kati mgogoro huo kati ya madaktari na serikali ulioingia siku ya 92 sasa.
Kenya Airways kuruka moja kwa moja hadi Marekani
Serikali ya Kenya ina hisa kwenye shirika la ndege la Kenya Airways.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 17 wa 23
Ukurasa unaofuatia