You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mvutano wa kibiashara waibuka kati ya Kenya na Tanzania
Kenya imewasilisha rasmi malalamiko kwa Tanzania kuhusu kile inachokiita sera ya
Lungu: Tusifuate mfano wa Kenya
Rais Edgar Lungu wa Zambia amewaonya majaji nchini humo dhidi ya uamuzi wowote watakaotoa kumzuia asiwanie tena urais.
Kenya: NASA yaelekea wapi?
Kufahamu kuhusu hatua ambazo NASA inataka kuchukua baada ya kususia uchaguzi, DW imezungumza na Musalia Mudavadi.
Nini funzo la uchaguzi wa Kenya kwa EAC?
DW imezungumza na mwanasiasa mkongwe kutoka Tanzania, Joseph Butiku, anayechambua hali baada ya uchaguzi wa marudio.
Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini Kenya wagoma
Wafanyakazi wote wanaohusika na masomo katika vyuo vikuu 31 vya umma wamo katika mgomo kuanzia tarehe Novemba mosi
Uhuru Kenyatta ndiye rais mpya wa Kenya
Uhuru Kenyatta ndiye rais mteule wa taifa la Kenya baada ya kuzoa kura milioni 7.4 ya kura zote zilizopigwa kwenye.
IEBC kumtangaza mshindi Kenya, Jumatatu
Tume ya Kusimamia Uchaguzi nchini Kenya imekamilisha matayarisho ya kumtangaza mshindi wa uchaguzi mpya wa urais.
Kiongozi wa upinzani Odinga anataka uchaguzi mpya Kenya
Odinga anataka uchaguzi mpya ufanyike katika muda wa siku 90
Maswali ya kisheria yanayozingira uchaguzi uliorudiwa Kenya
Uchaguzi mpya wa rais nchini Kenya, haujakamilika kufuatia machafuko
Hali ya uchaguzi katika jimbo la Kiambu
Katika jimbo la Kiambu, afisa wa uchaguzi amesema huenda hali ya watu wachache kujitokeza imechangiwa na mvua ambayo imenyesha. Mwandishi wa DW-Kiswahili Shisia Wasilwa anaeleza zaidi.
Hali ya uchaguzi Kisumu
Mjini Kisumu ambako ni ngome kuu ya muungano wa upinzani NASA kulikuwa na makabiliano kati ya maafisa wa polisi na wafuasi wa NASA ambao walipinga uchaguzi huo. Grace Kabogo amezungumza na mwandishi wetu John Marwa aliyeko Kisumu
Hali ilivyokuwa Kibera kuhusiana na uchaguzi Kenya
Katike eneo la Kibera ambapo hapo awali kuliripotiwa machafuko Amina Abubakar amezungumza na mwandishi wetu Reuben Kyama aliyeko Kibera na anaeleza yale ambayo yamejiri
Hali ya uchaguzi mjini Mombasa
Mjini Mombasa uchaguzi umeendelea baada ya vituo vya kupigia kura kufunguliwa saa kumi na Mbili asubuhi. Lakini idadi ya wapiga kura waliojitokeza ni ndogo. Erick Ponda anaripoti kutoka Mombasa.
Wakenya wapigakura katika uchaguzi mpya wa rais
Hatua ya upinzani kususia uchaguzi itampa ushindi Kenyatta, lakini inaiacha Kenya ikigawika vibaya.
Kenya yagawika ikielekea uchaguzi mpya wa Rais Okt 26
Muungano wa Upinzani NASA waapa kutoshiriki uchaguzi mpya wa Rais, uhasama umeongezeka na kusababisha hali ya wasiwasi
Kenyatta aonya wanaotaka kuleta vurugu
Amesema serikali yake iko tayari kupambana na tishio lolote la usalama wa taifa wakati na baada ya uchaguzi.
Mkurugenzi Mtendaji IEBC achukua likizo
Ezra Chiloba anachukua likizo ya wiki tatu wakati uchaguzi mpya wa rais ukitarajiwa kufanyika Oktoba 26.
Kenyatta amburuza Odinga mahakamani
Kenya imetumbukia katika mgogoro mkubwa wa kisiasa huku kila upande ukizidi kuvutia kwake.
IEBC: Ni vigumu kuhakikisha uchaguzi wa haki
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Wafula Chebukati amewataka maafisa wa Tume waliovuruga uchaguzi uliopita kuachia ngazi.
Kamishna wa tume ya uchaguzi Kenya ajiuzulu
Akombe amewalaumu wenzake katika tume hiyo kuwa na upendeleo wa kisiasa
Jubilee ina mawakala katika kamisheni ya IEBC, Odinga
Upinzani nchini Kenya unasisitiza hakutokuwa na uchaguzi tarehe 26 Oktoba kama ilivyotangazwa na kamisheni.
Kenya yapiga marufuku maandamano Nairobi, Mombasa na Kisumu
Hatua hiyo ni pigo kwa Muungano wa NASA uliotangaza kuwa watakuwa watafanya maandamano kila siku kuanzia juma lijalo
Mashirika ya kijamii yaonya huenda udikteta ukarejea Kenya
Kaimu waziri wa usalama wa ndani, Fred Matiang'i amepiga marufuku maandamano katikati ya miji mitatu mikuu
Mahakama, bunge Kenya zatoa maamuzi magumu uchaguzi Kenya
Marekebisho hayo yamekosolewa vikali na upinzani ambao wabunge wake walisusia kura hiyo.
Raila Odinga ajiondoa kuwania urais
Tamko hili linakuja takribani wiki mbili kabla ya uchaguzi kufanyika.
Mahakama kuwahoji Odinga na Musyoka
Ni kuhusiana na kauli zao walizotoa kuwa uchaguzi mpya wa Oktoba 26 hautafanyika.
Tume ya uchaguzi Kenya yaahirisha vikao vya mashauriano tena
IEBC yatakiwa kuimarisha mfumo wa uchaguzi
Mahakama ya Juu nchini Kenya imeiamuru tume ya uchaguzi ya IEBC kuandaa mfumo wa ziada wa kuupa nguvu zaidi uliopo wakati uchaguzi mpya wa rais unasubiriwa. Majaji waliosikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais wametoa ufafanuzi wa hukumu yao.
Mahakama Kenya yailaumu IEBC kwa kuvurunda uchaguzi
Kukataa kwa IEBC kutii maagizo ya mahakama kulimaanisha madai ya upinzani yalikuwa na msingi.
Raila amtaka Rais Uhuru Kenyatta kujiuzulu
Muungano wa NASA unadai baadhi ya makamishna wa Tume ya uchaguzi wamepewa vitisho huku wakinyang'anywa ulinzi wao.
Al Shabaab wawakata shingo Wakenya 4
Al Shabaab imeapa kuiadhibu Kenya kwa hatua yake ya kutuma vikosi nchini Somalia kupambana na kundi hilo.
Odinga hatoshiriki uchaguzi hadi madai yake yatimizwe
Raila Odinga amesema muungano wa NASA hautashiriki katika uchaguzi mpya wa rais kwa tarehe iliyotangazwa na Tume ya uchaguzi, ya Oktoba 17. Odinga amesema ni hadi pale watakapopata hakikisho kuhusu masuala kadhaa ya kisheria na kikatiba.
Odinga apinga tarehe ya kurudiwa uchaguzi
Odinga ametaka kufutwa kazi kwa baadhi ya maafisa wa tume inayosimamia uchaguzi Kenya
Wanasheria Kenya wazungumzia kauli ya Kenyatta
Kenya inaendelea kugonga vichwa vya habari baaada ya tukio la wiki iliyopita, ambapo Mahakama ya Juu nchini humo ilibatilisha matokeo yaliyompa ushindi Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa Agosti 8 na kutaka uchaguzi wa urais urudiwe ndani ya siku 60.
Upinzani Afrika waipongeza Mahakama ya Juu ya Kenya
Viongozi wa upinzani Afrika wamesifia hatua ya mahakama ya juu nchini Kenya kutengua matokeo ya uchaguzi wa rais
Rais Kenyatta 'aishambulia' idara ya mahakama
Hii ni mara ya pili tangu uamuzi huo wa mahakama, kwa Kenyatta kutoa kauli kali hadharani dhidi ya idara ya mahakama.
Uamuzi wa Mahakama ya Kenya uzae marekebisho
Huu ni ushindi wa wazi kwa demokrasia barani Afrika na sio kwa Kenya pekee.
Mahakama ya Juu Kenya yaamuru uchaguzi mpya wa rais
Mahakama ya Juu Kenya yaamuru uchaguzi mpya wa rais
Plastiki nchini Kenya: Kutoka biwi la takataka hadi tumboni
Takataka za mifuko ya plastiki zinaweza kujipenyeza katika vyakula bila kutarajiwa
Kenyatta, Odinga wapinga mishahara minono kwa wabunge
Rais Kenyatta na kinara wa upinzani Raila Odinga wamejitenga na wabunge kutoka vyama vyao wanaotaka nyongeza ya mshahara
Kampeni ya polisi kutunza amani Kenya
Polisi Kenya imeandaa mashindano ya michezo kati ya polisi, wanasiasa na wananchi pamoja na maandamano ya amani.
Upinzani kujitenga Kenya na kuunda taifa jipya?
Mwanauchumi David Ndii asema wakati umewadia kwa wapinzani kujitenga na kuunda taifa huru.
Mahakama ya juu Kenya yaombwa kutenda haki
Viongozi wa muungano mkuu wa upinzani NASA wametoa witu huo kuhusu kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu.
Miezi mitatu ya mgomo wa wauguzi Kenya
Mgomo wa wauguzi katika hospitali zote za umma nchini Kenya ulioanza mwezi Juni bado unaendelea.
Mashirika yasiyo ya serikali yakaguliwa Kenya
Polisi na mamlaka ya mapato ziliizingira kwa muda ofisi za asasi yenye kupigania demokrasia AfriCOG.
Raila kupinga matokeo ya uchaguzi mahakamani
Asema upinzani hautakubali haki za Wakenya kukandamizwa na kwamba wataonesha jinsi uchaguzi ulivyochakachuliwa.
Wanaharakati Kenya wabwagwa uchaguzi mkuu
Wapo wanaharakati maarufu na vijana ambao watarajiwa kupenya kwenye kinyang'anyiro hicho lakini hawakufanikiwa.
Raila Odinga atafakari hatua za kuchukua baada ya uchaguzi
Raila Odinga atafakari hatua za kuchukua baada ya uchaguzi
Raila Odinga awashauri wafuasi wake wasusie kwenda kazini
Raila Odinga atakiwa awatulize wafuasi wake
Kenya: hali ya wasi wasi yaendelea
Hali ya wasi wasi imeendelea kutawala nchini Kenya baada ya matokeo ya uchaguzi wa rais
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 16 wa 23
Ukurasa unaofuatia