You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Polisi watibua maandamano ya kupinga mizigo kupitia SGR
Maafisa wa polisi mjini Mombasa wameyatibua maandamano ya kupinga agizo la mizigo kubebwa SGR kwenda Nairobi
Idara ya huduma za feri yalaumiwa kwa mkasa wa Feri
Idara ya huduma za feri yalaumiwa
Bunge la Kenya lajadili usalama katika kivuko cha Likoni
Miili ya mwanamke na mwanye haijaopolewa baharini
Washukiwa wa ujambazi wauawa Mombasa
Washukiwa watatu wa ujambazi wameuwawa kwa kupigwa risasi katika makabiliano na maafisa wa ulinzi mjini Mombasa
Kenya yaiaga rasmi noti ya zamani ya shilingi 1,000
Wakenya wameiaga rasmi noti ya zamani ya shilingi alfu moja baada ya muda wa kuzisalimisha benki kufikia kikomo.
Maandamano ya mabadiliko ya tabia nchi yafanyika Kenya
Mpasuko wanukia katika chama cha Jubilee
Wabunge wamtaka rais Kenyatta kueleza wazi ni upande upi anaouunga mkono
Raila Odinga ataka "Punguza Mizigo" ikataliwe
Odinga ayataka mabunge kwenye Kaunti kuukataa mswada wa kubadilisha katiba maarufu Punguza Mizigo.
Vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya al-Shabaab vyapingwa
Nchi sita zazuia vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya al-Shabaab , hatua ambayo ingezuia Wasomali kupata misaada.
Wanasiasa Kenya waonywa kutowachochea raia kuhusu sensa
Viongozi wawili wametiwa mbaroni kuhusu uchochezi dhidi ya sensa.
Hasara ya nusu mwaka ya Kenya Airways imezidi maradufu
Serikali ya Kenya inapanga kuwarejeshea pesa za wamiliki wa hisa
Kenya yaanza kusafirisha mafuta ghafi
Kwa mara ya kwanza Kenya imesafirisha mafuta ghafi kwenda nchini Malaysia.
Sensa Kenya kuhusisha watu wa jinsia mbili
Serikali inaendesha sensa hiyo kwa lengo la kutekeleza mipango yake pamoja na kugawa rasilimali kwenye majimbo.
Kenya yawaondoau wanaoishi katika msitu wa Mau
Kenya imeanza utaratibu wa awamu ya pili ya kuwaondoa watu wanaoishi katika Msitu wa Mau
Viongozi wa kidini Mombasa wapinga kuhusu reli ya SGR
Viongozi wa kidini Mombasa wataka wafanyabiashara wasilazimishwe kutumia njia ya reli ya SGR.
Idadi ya wanaohitaji chakula Kenya yaongezeka
Iwapo hakutakuwa na mikakati ya kweli, idadi ya watu wanaohitaji chakula Kenya itakuwa kubwa.
Afrika kuanza kutumia satalaiti kwa mazingira, tabianchi
Waziri wa Ulinzi wa Kenya Rachel Omamo anasema hatua hiyo itawafaidisha wakulima na kusaidia kutunza vyanzo vya maji.
Kenya yamtema Mfaransa Migne
Shirikisho la Soka la Kenya, FKF, linasema limeagana na kocha wake wa timu ya taifa, Sebastien Migne.
Kenya kuuza mafuta nje
Kenya kuuza mafuta ghafi baada ya kupata mnunuzi wa mapipa 200,000 yaliyo na thamani ya dola milioni 12 za Marekani.
Umoja wa Ulaya waipunguzia Kenya fedha
Kwa mwaka huu mpya wa fedha Kenya inasubiria shilingi bilioni 5 pekee.
Rotich na Thugge wakanusha mashtaka ya ufujaji fedha
Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kufanya mabadiliko katika baraza la mawaziri
Waziri wa fedha Kenya akamatwa
Waziri wa fedha Kenya kukamatwa
Mapendekezo ya kubadilisha katiba Kenya yazusha mjadala
Wabunge Kenya watofautiana kuhusu kurekebisha katiba
Ukame watishia maisha ya wakazi wa Wajir, Kenya
Hali mbaya ya kiangazi na ukame imelikumba jimbo la Wajir nchini Kenya kwa miezi mitatu iliyopita, huku wakazi wakiwa wanahofia maisha yao pamoja na ya mifugo yao. Mamlaka ya kudhibiti Ukame wameelezea kuwa hali huenda ikawa mbaya zaidi.
Kanisa la Anglikana Kenya kuwakwepa wanasiasa misibani
Kanisa la Kiangalikana nchini Kenya katika jimbo la Magharibi limepiga marufuku mazishi kuandaliwa katika siku za wikendi. Askofu mkuu wa kanisa hilo Joseph Wandera amesema kuwa dayosisi yake itakuwa inaongoza shughuli za mazishi kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa katika makanisa yake yote. Lengo ni kuwakwepa wanasiasa. Sikiliza zaidi ripoti ya Shisia Wasilwa
Kenyatta akomesha mawaziri kufanya vikao vya usiku
Rais wa Kenya akomesha vikao vya mawaziri wake nyakati za usiku
Hofu ya kupasuka bwawa eneo la Njoro, Kenya
Hofu yatanda eneo la Njoro, Kenya kutokana na bwawa linalovuja na kutishia maisha ya wakaazi.
Mahakama ya Kenya yazuia Ujenzi wa mtambo wa makaa ya mawe
Makaa ya mawe
Wawekezaji wa kigeni wahakikishiwa usalama wao Kenya
null
Mawaziri 3 Kenya wadaiwa kuwa na njama ya kumuua naibu rais
Mawaziri hao wameyakana madai dhidi yao
Maandamano Nairobi kupinga mradi wa mkaa wa mawe Lamu
Wataalamu wanaonya kuwa iwapo serikali itaendelea kutekeleza mradi huo huenda ukawa na matokeo hasi
Kanisa Anglikana Kenya lapiga marufuku siasa madhabahuni
Wanasiasa wanadaiwa kutumia madhabahu kuligawanya taifa na kuwakejeli wapinzani wao
Mjadala kuhusu umri wa 'kula tunda' Kenya
Walimu wakuu wa shule za sekondari nchini Kenya sasa wanapendekeza kuwa umri ambao wasichana wanastahili kuanza kushiriki tendo la ndoa kwa ridhaa yao uwe miaka 20.
Mchakato wa marekebisho ya katiba Kenya waanza
Tume ya Uchaguzi Kenya imeanza kuhakiki saini zilizowasilishwa kwa ajili ya kuitishwa kura ya maoni
Maafisa wa Kenya waenda Dubai kufuatilia kashfa ya dhahabu
Hayo yanafanyika kukiwa na harakati za kumng'owa waziri wa usalama wa ndani kwa tuhuma za kuwalinda wezi.
Sudan Kusini: Wanadiplomasia 40 wafutwa kazi
null
Kenya: Maelfu wajitokeza kujisajili kupata 'Huduma Namba'
Maelfu wamejitokeza kupiga foleni kujiandikisha katika maeneo mbalimbali ya Kenya kupata nambari ya Huduma
Walimu Kenya wasusia mtaala mpya wa elimu
Serikali ya Kenya imezindua Sera mpya ya Mtaala wa Kitaifa wa Elimu lakini Chama cha Walimu (KUNT) kimeugomea mtaala huo wakidai haukuushirikisha umma kwenye kutayarishwa kwake kama yalivyo matakwa ya kikatiba. Je, walimu wataususia pia mtaala huo kwenye kufundishia wanafunzi? DW imezungumza na Amos Kaburu wa shirika linalojishughulisha na masuala ya elimu Afrika Mashariki, TWAWEZA.
Siasa zaendelea kupamba moto Kenya
Wakati siasa zikiendelea kushika kasi nchini Kenya, rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta hajaonekana hadharani katika shughuli zake, hatua ambayo imeilazimu ikulu kutoa taarifa kwamba yupo anaendelea na kazi zake. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya.
Rais Kenyatta na makamu wake kuongezwa mshahara
Wizara ya Fedha ya Kenya imepanga kuongeza mshahara wa Rais Uhuru Kenyatta na makamu wake William Ruto.
Mvutano ndani ya chama tawala Kenya, Jubilee waongezeka?
Waungaji wa makundi haya mawili ya Tangatanga na Kieleweke wanasema makundi hayo yanalenga kupanua demokrasia.
Kusambaa kwa habari za uwongo tishio kwa uandishi
Habari za uwongo huchochea ghasia na chuki
Kesi za waathiriwa wa baada ya uchaguzi Kenya
lengo la kuwaleta pamoja waathiriwa ni kukusanya ushahidi wa kutosha kuweza kuishtaki serikali.
Homa ya uchaguzi wa 2022 yapanda Kenya
Wabunge wanaompinga Ruto wanataka wafuasi wa kiongozi huyo wazuiwe kuendelea na ziara zao nchi nzima.
Mkenya Peter Tabishi ashinda tuzo ya mwalimu bora duniani
Tuzo hiyo inaandamana na kitita cha dola milioni moja za kimarekani.
Kenyatta na Macron wafungua mkutano wa mazingira Nairobi
Ziara ya Macron Afrika Mashariki
Mgomo wa wafanyakazi wavuruga safari za ndege Nairobi
hatua ambayo wanadai itachangia wengi wao kukosa ajira.
Dhuluma dhidi ya waandishi wa habari Kenya zaongezeka?
Visa vya dhuluma dhidi ya waandishi wa habari vimeripotiwa kuongezekana nchini Kenya.
Mradi wa kujenga mabwawa wasitishwa Kenya kwa ufisadi
Mradi wa ujenzi wa mabwawa ya kaunti ya Elgeyo Marakwet, Kenya, wa shilingi bilioni 93 wadaiwa kukubwa na ufisadi.
Mkenya ahukumiwa kwa kumuiga rais kuwatapeli watu
Watu 7 waliojifanya Rais Kenyatta wa Kenya, na kuwatapeli wafanyabiashara kiasi cha shilingi milioni 10 wameshitakiwa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 13 wa 23
Ukurasa unaofuatia