You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kenya kuviondoa vikosi vya jeshi Somalia
KDF imekuwa ikihudumu nchini Somalia kuanzia mwaka 2011
Punda hatarini kutoweka Kenya
Ngozi ya punda ina kiungo muhimu cha kutengezea dawa za kiasili za Kichina za kupunguza uzee na kuongeza nguvu za kiume.
Mitizamo ya PLO Lumumba juu ya demokrasi Afrika Mashariki
Mitizamo ya PLO Lumumba juu ya hali ya demokrasi katika mataifa ya Afrika Mashariki.
Kenya: Abiria 239 toka China watakiwa kujiweka karantini
Serikali ya Kenya imejikuta pabaya baada ya abiria 239 kwenye ndege iliyotokea China kutua na kuruhusiwa kuingia humo
Nzige watua Congo
Shirika hilo la chakula, FAO limeonya juu ya kitisho cha njaa katika mataifa ya Afrika Mashariki kutokana na nzige hao.
Ujerumani yaahidi kuendelea kuisaidia Kenya
Steinmeier amefuatana na wafanyibiashara kutoka Ujerumani wanaolenga kuwekeza katika sekta mbali mbali za uchumi.
Machozi ya wanyonge wa Mombasa
Kenya na mauaji ya watu wasio na hatia chini ya mikono ya vyombo vya dola.
Afrika Mashariki kukumbwa na uvamizi mwingine wa nzige
Wadudu hao hivi sasa wanataga mayai kwenye njia yao ya uhamiaji kupitia mataifa kadhaa ya Afrika Mashariki.
Matibabu bado ni changamoto Kenya licha ya mashine za kisasa
Je Wakenya wamenufaika na mpango huo?
Ruto ajitenga na sakata la shilingi bilioni 40
Ruto ajitenga na sakata la shilingi bilioni 40 linalohusishwa na afisi yake.
Watu 3 wa familia moja wapatikana baada ya kupotea Kenya
Watu 3 wa familia moja wapatikana baada ya kupotea Mombasa
Buriani rais wa pili wa Kenya Mzee Moi
Mchango wa Moi kwa kuanzisha shirika la IGAD watambuliwa
UN yatoa wito wa mchango wa kukabiliana na nzige Afrika
UN yatoa wito wa mchango wa kukabiliana na nzige Afrika
Nzige wa jangwani wavamia Uganda
Nzige wa jangwani ambao ni waharibifu kwa mimea wamevamia baadhi ya maeneo ya Uganda.
Uhuru awaongoza Wakenya kumuaga hayati Daniel arap Moi
Moi atazikwa nyumbani kwake Kabarak siku ya Jumatano Februari 12
Waititu atimuliwa kama Gavana wa jimbo la Kiambu, Kenya
Baadhi ya viongozi wakuu serikalini wadai Waititu hakutendewa haki
Kinagaubaga : Je, walimu wako salama nchini Kenya?
Mahojiano ya Kinagaubaga leo yanazungumza na Katibu Mkuu wa Muungano wa walimu nchini Kenya Wilson Sossion
Kenya kuna uhaba wa dawa ya kuua Nzige
Serikali ya Kenya inakabiliwa na uhaba wa dawa za kunyunyiza nzige wa jangwani ambao wanaendelea kusambaa.
Kenya kuna uhaba wa dawa ya kuua Nzige
Serikali ya Kenya inakabiliwa na uhaba wa dawa za kunyunyiza nzige wa jangwani ambao wanaendelea kusambaa
Kenya yachukua hatua dhidi ya virusi vya Corona
Tayari watu zaidi ya 571 wameambukizwa ugonjwa huo huku watu 17 wakipoteza maisha, hii ikiwa ni kutokana na taarifa ya serikali ya China. Kenya tayari imeanza kuchukua tahadhari kwa kuwakagua wasafiri wanaoingia nchini humo kutoka China kupitia viwanja vyake vya ndege. Kuhusu virusi hivyo Amina Aboubakar amezungumza na daktari Aizack Maro.
UN: Yaelezea wasiwasi wa mashambulizi ya kigaidi mashuleni
Walimu wanaohudumu katika maeneo hatari tayari wameshapewa nyara za kuhamishwa
Nchi 3 za Afrika zafanyia majaribio chanjo ya Malaria
Nchi 3 za Afrika zafanyia majaribio chanjo ya Malaria
'Vikombe maalum' vya hedhi kuwasaidia kina mama Kenya
Vikombe hivyo vinasaidia kukabiliana na maradhi pamoja na kupunguza gharama
Kenya yasema mikakati ipo kukabiliana na nzige wa jangwani
Waziri wa kilimo Mwangi Kiunjuri amewataka wananchi kuwa waangalifu na kutoa taarifa kwa mamlaka kuhusu wadudu hao.
Kaunti ya Lamu Kenya yaweka marufuku ya kutotoka nje
Wakaazi wa Kaunti ya Lamu nchini Kenya wamewekewa marufuku ya kutotoka nje kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi alfajiri kufuatia mashambulizi matatu ya wanamgambo wa Al Shabaab. Msikilize mwakilishi wadi wa eneo hilo Salim Mohammed kuhusu hali ilivyo hivi sasa.
Kenya yawakamata waliojaribu kuingia kambi ya Uingereza
Kenya yawakamata waliojaribu kuingia kambi ya Uingereza
Al-Shabaab yashambulia kambi ya Manda Bay, Kenya
Al-Shaab imesema katika taarifa kuwa kundi la "Brigedi ya Mashahidi" limevamia kambi ya Manda Bay, iliyoko Lamu, Kenya.
Hali ya usalama Lamu baada ya shambulizi
Hali ya usalama Lamu baada ya shambulizi la kundi la al-Shabab.
Madaktari wasitisha mgomo Kisumu, Kenya
Madaktari wa jimbo la Kisumu hatimaye wasitisha mgomo, na wakazi kupata afueni.
Wakazi wa vijiji vya Marsabit wataka ulinzi uimarishwe
Wakaazi wa vijiji vya jimbo la Marsabit, Kenya vinavyopakana na Ethiopia waitaka serikali ya Kenya kuimarisha ulinzi.
Kenya: Kaimu afisa mkuu mtendaji wa Kenya Airways atangazwa
Kenya Airways ilirekodi hasara ya shilingi za Kenya bilioni 8.56
Mkutano wa kilele wa ACP wafanyika Nairobi
Mkutano wa kilele wa ACP walenga teknolojia
Gavana Mike Sonko akanusha mashtaka ya ufisadi dhidi yake
Sonko aiambia mahakama hana hatia.
Tanzania: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika
Rais wa Tanzania John Pombe aongoza maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika
Jengo la ghorofa sita limeporomoka jijini Nairobi
Jengo jingine laporomoka Nairobi
Mvua yasababisha mafuriko, Kenya.
Familia hizo zilikimbilia maeneo salama kuepuka athari zaidi ya mafuriko ambayo tayari yamesababisha uharibifu mkubwa.
Mvua kuendelea kuipiga Kenya
Kitengo cha kupambana na majanga ya kitaifa kinaeleza kuwa watu wasiopungua 130 wamefariki kutokana na athari za mvua.
Wabunge Kenya wagawika kuhusu utekelezaji wa ripoti ya BBI
Spika wa bunge atoa maoni yake juu ya ripoti ya BBI
Kenyatta azindua rasmi ripoti ya BBI
Rais Kenyatta amewataka Wakenya kuyasoma kwa umakini mapendekezo hayo na kufanya maamuzi ya busara.
Viongozi Kenya wasisitiza amani.
Kwa mara ya kwanza kwa kipindi kirefu viongozi wa upinzani waliketi meza moja na viongozi wa serikali.
Wizara ya Usalama Kenya yatajwa kuwa fisadi zaidi, ripoti
Wizara ya Usalama wa Kitaifa imetajwa kuwa fisadi zaidi nchini Kenya
Mpango wa kuwapatanisha Wakenya maarufu BBI wapingwa
Mpango wa Rais Uhuru Kenyatta kuwapatanisha Wakenya maarufu BBI wapingwa.
Kenya na Somalia zakubaliana kurekebisha mahusiano
Kenya na Somalia zakubaliana kurekebisha mahusiano
Wanablogu wakutana mjini Nakuru Kenya kuzungumzia saratani
Saratani bado ni tishio duniani kote
Kenya yakariri kuzifunga kambi za wakimbizi
Serikali ya Kenya yarudia msimamo wake wa kufunga kambi za wakimbizi kulinda usalama wa nchi.
Kenyatta akosolewa kufuta kazi bodi ya shirika la feri
Mashirika ya kijamii Kenya yamkosoa Kenyatta kufuta kazi bodi ya shirika la feri
Kenya yazindua reli nyingine ya SGR kupunguza msongamano
Mradi huo utagharimu dola milioni sita.
Baadhi ya shule zafungwa Mombasa kwa kukosa majengo imara
Agizo latolewa baada ya wanafunzi kadhaa kufariki kufuati shule yao kuporomoka mjini Nairobi
Kenya yailaumu Marekani
Kenya imeilaumu Marekani kwa kulikataa ombi lake la kulitangaza kundi la wapiganaji la Al Shabaab kuwa la kigaidi.
Kenya: Wasengwer wataka kutambuliwa kuwa wenyeji wa Embobut
Jamii ya Wasengwer nchini Kenya wameandaman wakitaka kutambuliwa kuwa wenyeji asili wa msitu wa Embobut
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 12 wa 23
Ukurasa unaofuatia