You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Muswada wa kuwapa wabunge waliostaafu malipo ya uzeeni Kenya
Mpango huo una azma ya kuwajumuisha wabunge waliohudumu kwa muhula mmoja kupokea malipo ya uzeeni hadi kufa kwao.
Polisi wamkamata baba kwa madai ya kumuua bintiye
Baba huyo anadaiwa kumpiga bintiye hadi kufa alipokuwa akimuadhibu
Mzozo wa uuzaji miraa kati ya Kenya na Somalia
Wakulima wa zao hilo wanadai kuwa ndege hiyo ilikuwa imezingatia masharti na kanuni zote zilizohitajika.
Marsabit: Wamiliki wa bunduki haramu wapewa muda kuzirudisha
Wanaomiliki bunduki kinyume cha sheria Marsabit wapewa muda kuzisalimisha
Rais Kenyatta na viongozi wa Kenya wamuomboleza Mkapa
Rais Kenyatta amewaongoza wakenya kutuma risala za rambirambi kufuatia kifo cha rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa
Shughuli za umma na zile za kisiasa zaanza kurejea Kenya
Ongezeko la idadi ya maambukizi inaonekana kuilemea wizara ya afya
Janga la Covid-19 labisha hodi hospitali ya wazazi Nairobi
Chama cha wahudumu wa afya nchini humo kimewataka wauguzi kusalia nyumbani hadi serikali iweke vifaa vinavyohitajika.
Nairobi: Polisi wafyatua mabomu kutawanya wanaharakati
Nairobi: Polisi wafyatua mabomu kutawanya wanaharakati
Shule nchini Kenya kufunguliwa tena Januari 2021
Vyuo vitarejea kuanzia mwezi Septemba
Kenya yatangaza kulegeza vizuizi vya COVID-19
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kulegeza vizuizi vilivyowekwa kukabiliana na virusi vya corona.
Kenyatta na makamu wake Ruto waendelea kutofautiana
siasa za Kenya zinazidi kushika kasi
Ruto afungua ofisi sanjari ya chama cha Jubilee
Ruto amefungua ofisi alioipa jina la Kituo cha Jubilee Asili kilicho na makao yake eneo la Kilimani mjini Nairobi.
Polisi 3 wakamatwa Kenya kwa kumburuta mwanamke ardhini
Maafisa watatu watiwa nguvuni kwa madai ya kumburuta mwanamke barabarani kutumia pikipiki huku wakimpiga
Serikali za Tanzania, Kenya na Uganda zawasilisha bajeti kuu
Bajeti kuu za serikali Afrika Mashariki zawasilishwa
LSK kuwasilisha ombi la kumshitaki Rais Uhuru Kenyatta
David Maraga amkosoa Rais Uhuru Kenyatta kwa kuupuza sheria
Covid-19: Visa vya dhulma vyaongezeka Mombasa
Maafisa wa polisi wametajwa kuhusika katika baadhi ya visa hivyo.
Kenyatta aweka huduma ya mahakama chini ya ofisi yake
Jaji Mkuu wa Kenya amesikitishwa na hatua ya kuihamishia Tume ya Huduma ya Mahakama (JSC) katika ofisi ya rais.
Watu 15 wauawa Kenya kwa kutitimiza vikwazo vya COVID-19
Watu 15 wameuliwa na polisi Kenya, wakati wa utekelezaji wa amri ya kutotembea usiku ili kuzuwia kusambaa kwa virusi vya corona viliyodumu kwa miezi miwili sasa. Mamlaka ya usimamizi wa polisi IPOA, imesema inachunguza visa vingine 87 vya polisi kutumia nguvu kupindukia.
Kenya yahamishia uchukuzi wa mizigo Naivasha
Lengo ni kupunguza safari za malori ya mizigo kutoka mataifa jirani, lakini hatua hiyo imezua hisia mchanganyiko.
Hali ni mbaya kwenye vituo vya karantini, Kenya
Hata hivyo serikali haijataka kutoa majibu yoyote kuhusu lawama hizo dhidi ya serikali.
Covid-19: Ibaada za barazani zapata umaarufu Kenya
Baada ya Kenya kupiga marufuku shughuli nyingi za kiuchumi na kijamii, makanisa sasa yanatumia vibaraza kuendesha ibada.
Kenya na Tanzania zafungiana mipaka
Kenya na Tanzania zimeingia kwenye mapambano ya kufungiana mipaka wakati kitisho cha kusambaa kwa virusi vya corona kikiendelea. Jumatatu mkuu wa mkoa wa Tanga, Martin Shigela aliugunga mpaka wa Horohoro unaoitenganisha Tanzania na Kenya upande wa Kaskazini Mashariki. DW imezungumza naye kufahamu kwa kina juu ya uamuzi huo.
Uhuru afunga mpaka wa Kenya na Tanzania na Somalia
Rais wa Kenya Uhru Kenyatta afeunga mpaka na Tanzania na Somalia kusaidia kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona.
Rais Kenyatta abadilisha uongozi wa Jubilee katika seneti
Kenyatta asema hatua inalenga kukiimarisha chama
Kenya: Mahakama yasimamisha bomoabomoa Kariobangi
Watu 5,000 waathiriwa na bomoa bomoa ya makaazi ya mabanda mtaani Kariobangi, Nairobi
Mvua inayonyesha Kenya huenda ikasababisha maafa makubwa
Mvua kubwa inayonyesha inafichua mipasuko iliyo ardhini
Bei ya unga Kenya kupanda
Bei ya unga huko Kenya huenda ikapanda baada ya serikali kuwaruhusu wafanyabiashara wa kusaga mahindi kuagiza magunia milioni 4 kutoka nchini Mexico. Shehena ya kwanza ya mahindi hayo inatarajiwa kuwasili mwezi wa Julai mwaka huu. Duru zinaeleza kuwa mahindi yaliyoko kwenye ghala la taifa yameoza na yana sumu ya aflatoxin. Msikilize Thelma Mwadzaya.
Mvua yasababisha maafa zaidi Kenya
Baadhi ya maziwa na mito pia imefurika.
Kenya yakabiliwa na uhaba wa vifaa vya kupima COVID 19
Taasisi ya Utafiti wa matibabu inahitaji shilingi milioni 790 ili kununua vifaa hivyo kwa dharura.
Aina ya virusi vya corona kwa mifugo vyaua ngamia Kenya
Idara hiyo imeelezea hofu yake kutokana na ugonjwa huo ambao dalili zake zinalingana na ule wa virusi vya COVID-19.
Kenya yaridhia kufunguliwa kwa hoteli na mikahawa
Wabunge wasusia kupitisha mswada utakaowalazimu Wakenya kulipa faini ya shilingi alfu 20 kwa kutovaa barakoa
Wakenya watakiwa kuwacha kuwanyanyasa wagonjwa wa COVID 19
Rais wa Kenya asema mikakati ya kukabiliana na Corona haitalegezwa
Polisi ya Kenya yashutumiwa kwa ukatili
Shirika la kimataifa la kutetea haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW), limeishutumu polisi ya Kenya.
Serikali ya Kenya yawatafuta watu 50 waliotoroka karantini
Watu hao waliwekwa karantini baada ya kushindwa kuzingatia amri ya kutotoka nje.
Ukatili wa kijinsia waongezeka nchini Kenya
Visa vya dhulma za kijinsia vimeongezeka mara tatu zaidi mnamo miezi ya hivi karibuni nchini Kenya.
Dhulma za kijinsia zaongeka Kenya
Dhulma za kijinsia zaongeka Kenya ikilinganishwa na mwaka uliopita. Je kulikoni?
Marufuku kwa yeyote kutoka nje bila barakoa, Kenya
Imepita kiasi ya wiki moja tangu Rais Kenyatta kutangaza amri ya kuvaa barakoa
Mwandishi wa riwaya 'Siku Njema' Ken Walibora ameaga dunia
Mwandishi mahiri wa vitabu vya Kiswahili nchini Kenya na Afrika Mashariki, Profesa Ken Walibora amefariki dunia. Tanzia ya Walibora ambaye aliwahi pia kuwa mtangazaji imejulikana leo asubuhi. Ili kufahamu zaidi kuhusu mazingira yaliyosababisha kifo chake Grace Kabogo amezungumza na Nuhu Bakari, mtaalamu wa lugha ya Kiswahili nchini Kenya ambaye pia ni rafiki wa karibu wa marehemu Walibora.
Afrika yalalamikia ubaguzi dhidi ya weusi China
Maafisa wa Afrika wanaituhumu China kuhusiana na unyanyasaji wa Waafrika unaoendelea katika mji wa Guangzhou
Corona yazua hofu katika bunge la Kenya
Hali ya wasiwasi imelikumba bunge la Kenya baada ya ripoti kuonesha kuwa wabunge na wahudumu 17 kuambukizwa ugonjwa wa
Marufuku kusafiri miji iliyoathirika na corona Kenya
Kenya yapiga marufuku usafiri katika miji iliyoathirika na virusi vya corona
Idadi ya maambukizi ya corona Kenya yaongezeka na kufika 122
Serikali ya Kenya yasema itawaajiri wahudumu 5,000 zaidi ili kupambana na COVID-19
Polisi wanne wasimamishwa kazi Kenya
Watu 10 wanauguza majeraha na wengine wamelazwa hospitali kufuatia ukatili wa polisi
Polisi waliowaua na kujeruhi raia huko Mombasa wawajibishwe
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Kenya yameitaka serikali kuwakuchukuliwa hatua za kisheria maafisa wa usalama waliowapiga na kuwajeruhi abiria 30 katika kivuko cha Feri na kusabbaisha vifo vya watu wawili tangu kuanza kwa marufuku ya kutotoka nje mjini Mombasa, nchini humo. Mwandishi wetu Faiz Musa alituletea ripoti yake.
Kenya nayo yaingia taharuki ya kirusi cha corona
Kenya yachukuwa hatua hizo huku baadhi ya wafanyibaishara wamekataa kutii agizo hilo.
Kenya yafunga shule baada ya kisa cha tatu cha corona
Wanafunzi wa shule za bweni wanatakiwa warejee nyumbani siku ya Jumatano
Kenya yathibitisha kisa cha kwanza cha corona
Waziri wa afya Mutahi Kagwe amesema mgonjwa huyo amewekwa kwenye karantini na yuko katika hali nzuri.
Rais wa Somalia Mohamed Farmajo akubali kuitembelea Kenya
Rais wa Somalia Mohamed Farmajo atazuru Kenya baada ya taharuki iliyotokea baina ya mataifa hayo mawili.
Kenya na Somalia zakubaliana kutatua mzozo wao
Kenya na Somalia zimekubaliana kusuluhisha mzozo uliotishia kuvuruga uhusiano kati yao.
Mimi ni kizazi cha Usawa #GenerationEquality
Kampeni inalenga kuleta usawa kati ya vizazi na inaadhimisha miaka 25 tangu tangazo la Beijing 1995.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 23
Ukurasa unaofuatia