You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wafuasi wa Ruto wahoji ushindi mkubwa wa BBI kwenye kaunti
Licha ya hapo awali kuonekana kukosa uungwaji mkono, mpango wa BBI umeridhiwa kwa kishindo na mabunge ya kaunti.
BBI yapitishwa na zaidi ya kaunti 24
Ruto amekuwa akiipinga BBI
COVID-19 ni mtihani mkubwa kwa Wakenya kujikimu kimaisha
Wakenya 9 kati ya 10 wanasema hali yao ya uchumi itadorora zaidi iwapo ugonjwa wa COVID-19 utaendelea kuenea.
Wakenya waomboleza vifo vya viongozi wawili
Salamu za rambirambi zinaendelea kutolewa Kenya kutokana na vifo vya viongozi wawili mashuhuri wa kisiasa nchini humo.
Kenya kuwanunulia wawakili wa kaunti magari ya dola mil.41
Kila mmoja wa waakilishi hao atapokea shilingi milioni mbili sawa na dola 18,000.
Walimu wa maeneo tete Kenya wataka mafunzo ya kujihami
Muungano wa waalimu Kenya, KUPPET, unaitaka serikali iwape walimu wanaosomesha maeneo tete, mafunzo ya kujilinda na kuwapatia bunduki ili waweze kujihami. Ombi hilo linatolewa wakati oparesheni ya usalama ikiwa imeimarishwa huko Kapedo pamoja na baadhi ya wanasiasa wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu wakijisalimisha kutoa taarifa.
Wanafunzi Kenya wachoma shule kabla ya mitihani ya taifa
Wanafunzi Kenya wachoma shule kabla ya mitihani ya taifa
Tisa wauawa katika mapigano mpaka wa Somalia na Kenya
Somalia inawatuhumu wanajeshi wa Kenya na wapiganaji waliofunzwa na Kenya kwa kushambulia vikosi vyake vya shirikisho.
Kenya yafungua mpaka na Ethiopia tena kuruhusu biashara
Biashara zimeanza tena kwenye mji wa Moyale mpakani mwa Kenya na Ethiopia, baada ya serikali kuufungua mpaka huo.
Polisi 15 nchini Kenya wameshtakiwa kuivamia familia moja
Maafisa 15 wa polisi ya Kenya wameshtakiwa kuivamia familia moja, na kuwafyatulia watu wake mabomu ya kutoa machozi.
Jaji Mkuu wa Kenya David Maraga astaafu rasmi
Kenya inaufungua ukurasa mpya baada ya Jaji Mkuu David Kenani Maraga kustaafu rasmi siku ya Jumatatu. Jaji Maraga anastaafu baada ya kufanya kazi kwa miaka minne na kutimiza umri wa miaka 70 ambao ni kikomo cha mtu kuhudumu kama jaji mkuu kwa mujibu wa katiba ya Kenya.
Hatua ya kuwafuta kazi wataalamu wa afya yakosolewa vikali
Baadhi ya wahudumu waliokuwa likizo waomba kurejea kazini
Kenya yarefusha marufuku ya usiku wakati shule zikifunguliwa
Kenya yarefusha marufuku ya usiku wakati shule zikifunguliwa
Zaidi ya watu 700 wameuwawa na polisi Kenya
Zaidi ya watu 700 wamekufa wakiwa mikononi mwa maafisa wa polisi nchini Kenya tangu mwaka 2007. Hayo ni kwa mujibu wa ri
Kenya yarekodi vifo zaidi kutokana na ajali za barabarani
Watu 3,663 waliaga dunia kutokana na ajali za barabarani mwaka 2020 nchini Kenya
Ongezeko la imani ya wanachi kwa vyombo vya habari Kenya
Ripoti yaonyesha ongezeko la imani ya wanachi kwa vyombo vya habari Kenya.
Viongozi wa IGAD wazijadili Ethiopia, Kenya na Somalia
Viongozi wa mataifa ya Afrika Mashariki wakutana kutatua mzozo wa Tigray, na wa majirano Somalia na Kenya.
Ushindi wa Msambweni, Mombasa kuathiri mchakato wa BBI?
Mgombea wa kujitegemea Faisal Bader ameshinda uchaguzi mdogo wa jimbo la Msambweni huko Mombasa. Ushindi wa mgombea huyo, mshirika wa makamu wa rais William Ruto unaonekana pigo kwa ushirikiano wa Raila Odinga na rais Uhuru Kenyatta kuelekea kura ya maoni ya BBI. Bi Maimuna Mwidau mchambuzi wa siasa za Kenya alizungumza na Sylvia Mwehozi.
Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Somalia na Kenya mashakani
Haya yanajiri wakati Rais wa Somaliland anakamilisha ziara rasmi yake ya kwanza nchini Kenya.
Watoto 565 wamepotea nchini Kenya
Familia nne za Nairobi na Kajiado yamevitaka vyombo vya dola kuharakisha uchunguzi wa watoto wao waliotoweka
Rais Kenyatta akutana na Waziri Mkuu wa Abiy Ahmed
Kenya na Ethiopia wametangaza kushirikiana zaidi katika masuala ya kibiashara.
Watu elfu 20 wamekufa kwa Ukimwi nchini Kenya mwaka huu
Nusu milioni ya watu walioambukizwa HIV hawatumii dawa za ARV
Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu Kenya watuzwa
Mashirika ya kijamii nchini Kenya na makundi ya kidiplomasia yamewatuza wanaharakati wa haki za kibinadamu
Jaji Mkuu wa Kenya atoa hotuba yake ya mwisho kwa taifa
Jaji Mkuu wa Kenya David Maraga ameikamilisha rasmi safari yake ya kikazi alipolihutubia taifa kwa mara ya mwisho.
Rais Kenyatta na Odinga wazindua zoezi la kukusanya sahihi
Kenyatta Raila Odinga wazindua zoezi la ukusanyaji sahihi kwa lengo la kuunga mkono ripoti ya Maridhiano ya taifa-BBI.
Kizungumkuti cha Mpango wa BB wa Kenya
Katika mahojiano ya Kinagaubaga Sudi Mnette anazungumza na aliyewahi kuwa makamo wa Rais wa Kenya Musalia Mudavadi kwa kutaka kujua mbivu na mbichi za mpango huo ambao umezusha mjadala mkubwa katika siasa za Kenya.
Shule zote nchini Kenya kufunguliwa tena mwezi Januari
Shule zote kufunguliwa nchini Kenya kufunguliwa Januari
Kenya yatangaza hatua mpya za kupambana na corona
Haya yanajiri baada ya maambukizi ya COVID-19 kuripotiwa kuongezeka kwa asilimia 16 nchini humo
Rais Kenyatta azindua ripoti rasmi ya maridhiano 'BBI'
Rais Kenyatta na Waziri Mkuu wa zamani nchini Kenya Raila Odinga wamezindua rasmi ripoti ya maridhiano-BBI.
Wahudumu wa afya Nakuru walalamikia mazingira duni ya kazi
Wahudumu wanalalamikia wagonjwa wa COVID 19 kuchanganywa na wagonjwa wengine na kutozingatiwa maslahi yao.
Kenya: Familia yadai jamaa wao aloachiliwa huru amekamatwa
Mahakama ilimuachilia huru siku ya Jumatano baada ya kukosa ushahidi.
Watuhumiwa wawili wa Westgate wakutwa na hatia, moja aachiwa
Hakimu mkuu wa Nairobi Francis Andayi amewakuta wawili kwa kushiriki kikamilifu katika mshabulizi ya Septemba 2013.
Kenyatta asema hana nia ya kung'ang'ania madaraka
Mrengo wa Ruto wakanusha madai ya kufanya mapinduzi kwenye chama cha Jubilee
COVID-19 Kenya: Muda wa kutotoka nje usiku wasogezwa siku 60
Rais Kenyatta aruhusu vilabu vya pombe kufungua hadi saa nne usiku
Walimu Kenya waamriwa kuripoti shuleni ifikapo Septemba 28
Rais Uhuru Kenyatta kutangaza tarehe ya shule kufunguliwa.
Jaji Mkuu Kenya ataka bunge livunjwe
Hata hivyo, Spika Justin Muturi amesema kuwa rais ndiye mwenye maamuzi ya kufanya hivyo.
Serikali za kaunti Kenya kusitisha utoaji wa huduma mikoani
Serikali za kaunti Kenya kusitisha utoaji wa huduma mikoani
Wasafiri kutokea Tanzania kutokaa karantini
Tanzania pia yaondoa marufuku ya ndege zote za Kenya
Mvutano wandelea kati ya washirika wa Ruto na serikali
Mbunge wa Kapsaret, Eldoret Oscar Sudi amezuiliwa kwenye kituo hicho cha polisi akisubiri kusomewa mashtaka ya uchochez
Kenyatta akataa kusaini kitita cha pensheni ya wabunge
Rais Kenyatta amechukua hatua hiyo akisema kwa sasa uchumi hauwezi kuhimili kiwango hicho cha mishahara.
Polisi wavunja maandamano ya kumpinga Ruto Kisiii
Hayo yamefanyika huku Rais Uhuru Kenyatta akiongoza mkutano wa dharura wa Baraza lake la Mawaziri jijini Nairobi
Siasa za Kenya zachukua mkondo wa 2007
Wabunge Oscar Sudi na Johana Ngeno wametiwa mbaroni kwa kutoa matamshi ya uchochezi na kumkosea heshima rais Kenyatta.
Raila akemea siasa za matusi Kenya
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amewasuta viongozi wanaowachochea wananchi kwa sababu za kisiasa.
Kenya, Uganda kushiriki mazungumzo kuhusu mvutano mpakani
Hatua hiyo ni baada ya maagizo mapya kutolewa na Uganda kuhusu madereva wa malori kupimwa COVID-19
Kagwe: Hakuna fedha ya COVID-19 iliyotafunwa Kenya
Kagwe: Hakuna fedha ya COVID-19 iliyotafunwa Kenya
Kenya: Viongozi wa dini wagawanyika kuhusu mageuzi ya katiba
Kenya: Viongozi wa dini wagawanyika kuhusu mageuzi ya katiba
Mauaji ya kiholela na watu kutoroshwa Kenya, wanaharakati
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yashutumu mauaji ya kutatanisha pwani ya Kenya
Baraza la mawaziri Kenya laanza rasmi mapumziko ya siku 10
Baraza la mawaziri linaanza rasmi mapumziko ya siku 10 Kama alivyoagiza raise Uhuru Kenyatta.
Ruto asema hatishwi na wenye ushawishi mkubwa wa kisiasa
Naibu Rais wa Kenya William Ruto amesema hatishwi na watu wenye ushawishi mkubwa wa kuamua ni nani atakuwa Rais ifikapo mwaka 2022. Amesisitiza azma yake ya kuingia Ikulu bado ingalipo. DW imezungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya Martin Oloo juu ya hilo.
Raila Odinga amesema muungano wa NASA umesambaratika
Raila Odinga amesema muungano wa NASA umesambaratika
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 23
Ukurasa unaofuatia