Mwenyekiti wa chama Kikuu cha Upinzania Tanzania anayeshikiliwa gerezani kwa tuhuma za uhaini na uchochezi Tundu Lissu ameamua kuwaondosha mawakili wake na kujiwakilisha mwenyewe kuanzia sasa, kufuatia na kile alichoiambia mahakama kuwa hapewi nafasi ya faragha na mawakili wake. Wakili Fulgence Massawe anatoa tahmini ya kisheria kufuatia uamuzi huo wa Lissu.