Mwenyekiti wa chama cha chadema Tundu Lissu leo amefikishwa mahakamani kwa mara nyengine kujibu mashtaka yanayomkabili ya uhaini na uchochezi katika mahakama ya Tanzania huku shauri Hilo likiendeshwa moja kwa moja mtandaooni ili kukidhi mahitaji ya watu wengi wanaofatilia mashtaka hayo.