Hivi karibuni polisi wawili waliuawa kwa kupigwa risasi walipokuwa wakifanya ukaguzi wa magari katika jimbo Rhineland-Palatinate, lililopo kusini magharibi mwa Ujerumani. Washukiwa wa mauaji hayo waliweza kufuatiliwa na kukukamatwa na inasadikiwa kuwa walikuwa ni wawindaji haramu.Sura ya Ujerumani inaangazia tatizo hilo la uwindaji haramu na kukujuza jinsi linavyoshughuliwa sasa.