Je, Unajikuta Unachoka Sana Asubuhi?
Unakoroma sana usiku? Unapumua kwa shida usingizini au kuamka ukikosa hewa?
Hii inaweza kuwa dalili ya tatizo hatari lijulikanalo kama Obstructive Sleep Apnea — ambapo njia ya hewa huzibwa wakati wa usingizi bila wewe kujua! Mengi zaidi kwenye video hii ya afya.