You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Tanzania
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na uchambuzi
Ripoti na uchambuzi
Ni mwaka mmoja tangu maandamano ya wakazi wa Ngorongoro
Ni mwaka mmoja tangu maandamano ya wakazi wa Ngorongoro
Yalikuwa ni maandamano makubwa zaidi kuwahi kutokea katika jamii ya wafugaji ya kuishinikiza serikali yao ya Tanzania
Ahadi za wagombea Tanzania na uhalisia wa maisha ya raia
Ahadi za wagombea Tanzania na uhalisia wa maisha ya raia
Wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikiendelea Tanzania, matarajio ya wananchi ni yepi? DW imezungumza na baadhi yao.
CCM yazindua kampeni kuelekea uchaguzi wa Oktoba 29
CCM yazindua kampeni kuelekea uchaguzi wa Oktoba 29
Rais Samia Suluhu Hassan aliongoza wanachama wa CCM katika kuwasilisha dira na mikakati ya chama kwa miaka mitano ijayo.
Mkwamo wa soka la Wanawake visiwani Zanzibar
Mkwamo wa soka la Wanawake visiwani Zanzibar
Soka la wanawake Zanzibar linakumbwa na changamoto kadhaa zinazozuia ukuaji wake licha ya vipaji vilivyopo visiwani humo. Hali ya uwekezaji duni imeathiri pakubwa ustawi wa wachezaji, uwepo wa viwanja vichache na ukosefu wa udhamini wa kutosha kwa timu za wanawake. Najjat Omar anaangazia hali ya soka la wanawake Zanzibar.
Zanzibar - Kisiwa maarufu cha viungo duniani
Zanzibar - Kisiwa maarufu cha viungo duniani
Zanzibar inasifika kwa uwepo wa mashamba ya viungo ambapo wageni hujifunza kuhusu karafuu, mdalasini, vanila na viungo vyingine vinavyokifanya kisiwa hicho kuwa kitovu cha biashara ya viungo kimataifa. Viungo hivyo hutumika katika tiba, mapishi na ni mojawapo ya utamaduni wa jadi visiwani Zanzibar. Makala ya Utamaduni na Sanaa inamulika jumba la makumbusho la viungo visiwani humo.
Dirisha la fomu za ubunge kwa CCM lafunguliwa rasmi
Dirisha la fomu za ubunge kwa CCM lafunguliwa rasmi
Mfumo wa uteuzi umefanyiwa marekebisho ili kuruhusu Kamati Kuu ya CCM kuwasilisha zaidi ya majina matatu kwa kila jimbo.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Mtazamo wa kina
Mtazamo wa kina
Msichana Jasiri
Kila msichana ana nafasi sawa kuwa jasiri - Msichana Jasiri!
Msichana aliyegeukia useremala licha ya kusomea diplomasia
Msichana aliyegeukia useremala licha ya kusomea diplomasia
Huyu ni msichana anayesoma diplomasia lakini pia anajivunia kuwa fundi selemara.
Msichana anayepiga vyombo vya muziki
Msichana anayepiga vyombo vya muziki
Caren ni msichana wa miaka 10, lakini sauti na midundo yake ni mikubwa kuliko umri wake. Anapiga vyombo vya muziki na pia huimba kwa ustadi mkubwa. Ameshawahi kutumbuiza katika matamasha makubwa, na hata kutunukiwa cheti cha muziki. Bado ana ndoto ya kuliiwakilisha taifa lake katika majukwaa makubwa ya kimataifa kupitia muziki.
Msichana anayeongoza watalii majini
Msichana anayeongoza watalii majini
Kutoka kwenye pwani ya Tanzania hadi kwenye kina cha bahari, amegeuza hofu kuwa ujasiri na ndoto kuwa kazi.
Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Masuala maalumu na matukio
Masuala maalumu na matukio
Bonyeza hapa kutazama Matangazo Yetu
Jielimishe zaidi