Tanzania imedhamiria kuongeza mauzo ya nyama kimataifa kwa kuzindua kampeni ya kitaifa ya chanjo na utambuzi wa mifugo. Licha ya kuwa nchi ya pili kwa wingi wa ng´ombe barani Afrika, Tanzania imeuza tani 14,000 pekee za nyama nje ya nchi miaka minne iliyopita. Tizama uzinduzi wa kampeni hiyo na ahadi zilizotolewa.